Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya Katunzi lol.
Leo nimeona picha zao. Dai na Zari they look good together
Kweli hivii kunawatuu hawalaligi usingizi coz ya hawajamaaaa
Mambo ya Katunzi lol.
Leo nimeona picha zao. Dai na Zari they look good together
Mambo ya Katunzi lol.
Leo nimeona picha zao. Dai na Zari they look good together
Baba mtoto mtarajiwa si alisema BBC kuwa wameshafanya DNA na ni mtoto wa kike. Kuna kazi aisee
Alafu umri wao pia unaendana.
Ila Katunzi ni mume wa mtu
Una habari Katunzi alikua anamlala Sintah kabla hajaamia kwa bibie?
Ila Sintah na Zarina wanapendana sana.Kitu kizuri kula na mwenzio.
Sweetheart, huyu Madam Wema atakutia uchizi bure.. mimba iwe ya mpendwa wako Chibu, Ivan, Katunzi, au hata kama iwe mpwa warumi nae alichovya kwa Zari na kumtia kile kitumbo, bado uhalisia utabaki pale pale kwamba Madam Wema Issack Sepetu ameshaachika!!! Avute tu pumzi labda atarejewa lakini kwa sasa.... aaaaaargh!Aione chige hiyooo
Si ndo sintah alimuunganishia bibie zari kwa bilionare Katunzi ama kweli kizuri kula na nduguyo. Huyo huyo sintah ana mtoto na katunzi.
Ila Zarina ana moyo sana...mwanamke wa shoka.
Mpwa bhana, mchana nilikuuliza huu ulimbukeni ulianza lini; hukunipa jibu! Swali langu lingine, hivi huu ushamba mpwa wangu umeanza lini manake wajanja wote wanafahamu kwamba pale Instagram, mtu unaweza ku-post chochote!! Hata wewe unaweza ku-post kwamba Jide sio mgumba na ulishawahi kumtandika mimba lakini akaitoa!!!Yaani hadi unampa matumaini my sweetheart angu Heaven on Earth!! Hivi hapo cha ajabu kwangu nini wakati hata wewe unaweza kuandika kilichoandikwa tena na zaidi ya hapo kisha uka-post instagram!!! Mwandishi mwenyewe, muke ya muganda... yule yule ambae alipewa dongo moja tu kwamba ni housegirl akaanza matusi siku mzima!!!chige akija humu patakuwa hapatoshi, uzuri wa jamaa mnapeana makavu ila hana ugomvi na mtu binafsi