Diamond kaangushwa na mameneja wake sio Wanaharakati

Hahahaha
Kiranga toto la kizaramo.
 
This Maasai thing hakuna kitu kimeniboa na Kunishangaza kama huu Umasai wa Ghafla kama tumeshindwa kutangaza Utalii kama Taifa asitumike mtu kwenye Juhudi zake binafsi kuvalishwa Marubega yani mpaka nimemfananisha na Msanii mmoja alikuwa amebeba picha ya Hayati Dr. Magufuli alivaa kiasili sijui ni ngozi ile na Kaniki na kushika Ngao sijui na mshale kumuenzi daah
 
Ila nimeamini Kuna wanawake ukiwa nao unakuwa na kismati Sana .


K ya zari Ina kismati kimevusha Sana bwana sadala[emoji1]
 
Meneja wake wa kimataifa ni Salaam SK ambaye amepigwa life Ban ya kuingia Marekani.
Meneja wake mwingine ndiyo huyo Babu Tale ambaye anaongea kwa ufasaha lugha ya Kiluguru na Kiswahili.
Mkuu, kwanini kapigwa hiyo life ban?
 
Mkuu wasanii wabongo wanavipaji tena sana.tatizo masihara mengi na hawapendi kufikilisha bongo zao kutunga nyimbo za maana.Sasa kwa mfano mtu anaimba "ukuti ukuti mara yeesaayeesaa ye.."
Hiyo mistari unaiyekaje kwa kiingeleza.
 

Vanessa Mdee alikuwa anatangaza chaneli gani kule SA naomba kukumbushwa
 
Unaona hatuna representatives hasa kwenye International Medias hivyo inamlazimu mtu mpaka amtafute mshikaji wa mshikaji ili nyimbo isikike huko nje....na hapo kama ni kuhonga siyo kitoto
Representative ni hakuna alafu niliwahi msikia Vanessa Mdee msanii akisema kipindi chote akiwa marekani huwa maclub mengi na hata media za huko wanawashaga sana nyimbo za Burna boy hasa hasa ile ya Gbona, Oluwa burna ilisky sana kwenye air waves za media nyingi marekani,

msanii mwingine nyimbo yake ilitrend ni ile ya Joahana didie drogba by afro B. Vee alihojiwa na Millard ayo kwenye amplify na Millard. So burna boy hits there several times. Lazima awe accepted kwenye nomining ya BET. Sasa habari za tajiri muulize maskini πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hivi Diamond Platnumz ana tuzo ngapi kulinganisha na huyo Burna Boy? Nadhani Diamond is way too far from Burna Boy when it comes to number of awards winning...pia alikuwa na mameneja hao hao unaowaponda
Hata kofia ya meko nayo ni tunzo πŸ˜„πŸ˜„
 
Iwe pinned
 
Kwa madufu ya eyoo Laizaa ataendelea kutikisa tandale na Kenya na Uganda tu! Music yenye taste kama ya Burnaboy iko level zingine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Marekani nani mwenye mda wa kuskiliza upuuzi wa diamond kinacho mbeba diamond ni beat tu, embu skiliza Kilometres ya Burna ni kisanga

Diamond anatakiwa ajipange sana,
 
Marekani nani mwenye mda wa kuskiliza upuuzi wa diamond kinacho mbeba diamond ni beat tu, embu skiliza Kilometres ya Burna ni kisanga

Diamond anatakiwa ajipange sana,
Kaka Jambazi pia hawa mameneja ni wapuuzi. Imagine meneja ambaye pia ni mbunge anatoka hadharani na kusema kuwa toka mkewe afariki hawezi hata kujifulia nguo za ndani.. tena bila tafsida anataja CHUPI.
 
Hahahah sasa Producer hana hela ya kodi kubabae kuna kazi tena hapoπŸ˜‚?
Mkuu waache watu wapumue nimekusoma toka kule πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ kuna Jeje ukikaa kwa utulifu sana zile idea za dada yule anayejichezesha hakuna tofauti na on the low ya bwana Burna ambayo ilitoka Nov 2018.

Yapo mengi sana kwa team hizi zenye kelele ,mpaka sasa nachojua ndio zimechangia kwa kiasi kikubwa sana kuua vipaji na mziki kama wa Burna Boy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…