Diamond kaangushwa na mameneja wake sio Wanaharakati

Mameneja waliopo ndo uwezo wao ulipofikia hatuna cha kuwalaumu zaidi ya kuwapongeza. Ila nao waukubali huu ukweli mchungu. Meneja mwenye elimu ya darasa la saba ni ngumu sana kumvusha msanii wetu. Meneja anatakiwa awe mbali kimaono kuliko msanii.
 
Hahahah sasa Producer hana hela ya kodi kubabae kuna kazi tena hapo😂?
Msela naye chenga Sana unashindwaje kumtumia Swizz beats producer mkongwe na mwenye koneksheni kibao then unakomaa na Laizaa Kama sio ufala ni nini ile Twice as tall wamo Hadi wakina Timbaland and then p diddy Kama executive producer.
 
Meneja wake wa kimataifa ni Salaam SK ambaye amepigwa life Ban ya kuingia Marekani.
Meneja wake mwingine ndiyo huyo Babu Tale ambaye anaongea kwa ufasaha lugha ya Kiluguru na Kiswahili.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]nimecheka Sana mkuu, Ila huu ndo ukweli. Hivi Salaam SK alipigwa life ban kuingia US kwa sababu gani vilee??

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kutuambia kwanini Wizkid alishindwa pia?

Au mpambano ilikua ni Mond na Burna pekee?

Kwanini tusiamini kanuni za ulimwengu, mshindi lazima apatikane, no matter wanaoshindana wana ubora unaoendana!
Yani ww nikichwa wengne wapumbav tu mawazo mazur
 
Hapo mwisho ndio nilichokiona mimi kipindi kile
 
Basi yale maneno ya mmakonde yametimia umaarufu wetu ni hapa hapa east afrika kule magharibi hakuna anaetujua
 
Ivi channel o bado ipo maana tuliipata sana kipindi kile cha antena
 
Hujui polite kuhusu burna boy...kaa kimya mtoa mada.
Album ya Twice as tall tuu imembeba Burna.
Kutoa nyimbo zenye akili Siyo mabum b shake yua bam bam mjegeje kwa rambo..
Hajihusishi na Siasa uchwara..
Amefanya international collabs kama zote ..
Na Sia, bieber,Sam smith.. niendelee ama niache..
Kikubwa zaidi Grammy alafu anae adabu ..
Ukiona alichokifanya yeye na Wasanii wenzake Kipindi cha maanadamano ya kupinga Sars?

Lastly but not leastly Babu yake alimmanage fella kuti since 1970s to lini sijui huko .
Mondi alikuwa msindikizaji tuu kwa hiyo Tuzo
 
Hivi Diamond Platnumz ana tuzo ngapi kulinganisha na huyo Burna Boy? Nadhani Diamond is way too far from Burna Boy when it comes to number of awards winning...pia alikuwa na mameneja hao hao unaowaponda
Tatizo siyo namba tatizo ubora.
Grammy ya burna inaweight kuliko Tuzo zote za mondi au unasemaje
 
Hivi Diamond Platnumz ana tuzo ngapi kulinganisha na huyo Burna Boy? Nadhani Diamond is way too far from Burna Boy when it comes to number of awards winning...pia alikuwa na mameneja hao hao unaowaponda
Sasa hapo kiongoz unaongelea haya matuzo ya Afrima ambayo hadi nedy music anayo Grammy moja ni sawasawa na afrima 100

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…