Diamond kamuomba Gwajima yaishe

Kupitia ukarasa wake wa instagram. Diamond kasema hakumuimba Konda na Gwajima kwa ubaya. Kajishusha haraka sana. Kamuomba asimgeuze maji Nami naungana na Diamond kumuomba mchuganji asimgeuze maji kijana wetu, huenda wimbo tulikua hatujaulewa.
Amgeuze tope kabisa
 
domo "usipende amani wakati wa vita, utakufa mapema”
 
Baba askofu tafadhali tafadhali baada ya post yako nilijiunga na bundle la week nikuone live Ukiyeyusha diamond...
Dah nshaingia hasara
 
Dah Simba kaniangusha anamuogopa binadamu hilo jina amuachie Mr Blue
 
Jamani mtoto kaomba msamaha. Sema mpaka amtaje huyu dada aliosema anachochea kwenye mitandao. Na amuombe msamaha, Ndo asigeuzwe jiwe la kusugulia miguu
Dr. Gwajima ili atutulize apige hata INTRO kesho, haiwezekani amsamehe mazima wakati mi nishasumbuka kupasi nguo za kipapaa za kesho.
 
Kupitia ukarasa wake wa instagram. Diamond kasema hakumuimba Konda na Gwajima kwa ubaya. Kajishusha haraka sana. Kamuomba asimgeuze maji Nami naungana na Diamond kumuomba mchuganji asimgeuze maji kijana wetu, huenda wimbo tulikua hatujaulewa.
Hujaelewa ww siyo wote. Diamond yuko upande 'wao' siyo mwenzetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…