Faviola
Member
- Jan 21, 2017
- 46
- 27
Amgeuze tope kabisaKupitia ukarasa wake wa instagram. Diamond kasema hakumuimba Konda na Gwajima kwa ubaya. Kajishusha haraka sana. Kamuomba asimgeuze maji Nami naungana na Diamond kumuomba mchuganji asimgeuze maji kijana wetu, huenda wimbo tulikua hatujaulewa.