Utajisikiaje siku ukimkuta kaweka picha ya kim kardishan ukutani amevaa bikini anapiga nayo nyeto?hata kama huna access na wasanii si vizuri kumsifia mbele ya mpenzi wako,wengi mnaofanya hivo ni malimbukeni tu na mnacheat balaa
Kamwe usimsifie mwanaume mwingine mbele ya bwana wako its nature thing.......labda kama ni baba yako.......hata kama huyo mtu huwezi kuwa na access nae kama ulivyosema huna access na wasanii.....but dunia ni ndogo hii mamaa..wat if ikatokea ukakutana na diamond thru ur friends may be utampa? Coz kwako access ndo shida........na bwana wako kakuona utamjibu nini na alikusikia ukimsifia kupitiliza
Jamaa bado ana akili za kitoto ukweli Dai domo amepiga hatua na yuko vizuri mweleze mchizi aache wivu na sisi wanaume ukiona mkeo anamsifia mtu fulani basi jipange na utafute status zaidi ya anayesifiwa sio blah blah tu mjini
kwahiyo sina haki ya kuongea?kwani in real life inashindikana nini kutongozwa au kukutana na celebrity?Una uhakika na unachokiongea au unaongea coz umepewa nafac ya kuongea,kumcfia celebrity ni kosa ?,while anajua huyo daimond ata anikute uchi hawez nitamani,ni kutojiamini tu,nyie mwanaume wa cku izi waoga kweli
Una akili sana wewe, kwa kifupi hataki binti awe na mawazo tofauti na yeye vinginevyo ni ugomvi wa kutishia penzi.
io inanihusu hata mimi nikimsifia mkaka yeyote kiuzuri tu tu basi natishiwa kuachwa et nimfate huyo nayemsifia yani ni hekaheka hapatoshi yeye sasa akimsifia duu ukimwambia wee anakua mkali kama pilipili mbuzi.
Hayupo hilo nina uhakika nalo nishakagua cmu,laptop,vyote yaan,na c mpz sana wa hzi mambo,
Make your man feel special.Jana bwana nilikua na shemeji yenu tumekaaa mahali tunaangalia world cup ile mechi ya saa nne basi bwana nikahisi kuanza kuboreka nikachukua headfon nikawa nasikiliza mziki yeye akiwa busy na mpira,
Na yeye akahisi mimi kuboreka akachukua headfon na yeye asikilize kile nichokua nackiliza ,wakati anachukua ulikua wimbo mpya wa Diamond unapigwa,
Basi bwana mara tukaanza kuongea mambo ya wanamuziki,nikawa namsifia Diamond bwana kwamba bwana mdogo anajitahidi ameanzia mbali ila he is somewhere now anajuhudi kwenye mziki yeye akawa anamponda .
kweli sijui hajui kuimba sijui mshamba sisi akataka na mimi ni msupport,alivyoona nampa fact eeeee niliamsha hasira za kipare ,
Ananiambia kama unampenda huyo Diamond si akakuoe sasa umefuata nini kwangu,
kiukweli sijui mambo ya Damond kunioa yalifikaje,aliongea sheet nyingi kwakweli,yaani mpaka sahizi kanuna hata sms ya morning sijapata na si kawaida yake yaani,
Hebu niambie wakaka hiiii inakuaje maaana simwelewi kwakweli,
Na anajua mimi na celebrity sio kivile sina hata access nao kwamba nitaweza hata kua karibu nao ,atakua amepatwa na nini huyu mwanaume?
True that,ila kuishi na mwanaume asiyejiamini ni shida!!!
Huyu ukimsifu bosi wako kuwa ana roho nzuri mbele yake si uta pack mabegi uhamie huko kwa bosi?
Hahahahaahah duh imebidi nicheke tusasa na wewe unamsifiaje mwanaume mbele ya kidume???
siso huwaga tunawaponda hata kama tunawapeenda
USIRUDIE
Within a blink of an eye ushahama kwa nyumba.
Haaaaaa unamsifia bosi wangu eti ana roho nzuri!!!!????????