Diamond kaniponza jamani

Diamond kaniponza jamani

Utajisikiaje siku ukimkuta kaweka picha ya kim kardishan ukutani amevaa bikini anapiga nayo nyeto?hata kama huna access na wasanii si vizuri kumsifia mbele ya mpenzi wako,wengi mnaofanya hivo ni malimbukeni tu na mnacheat balaa

Una uhakika na unachokiongea au unaongea coz umepewa nafac ya kuongea,kumcfia celebrity ni kosa ?,while anajua huyo daimond ata anikute uchi hawez nitamani,ni kutojiamini tu,nyie mwanaume wa cku izi waoga kweli
 
Kamwe usimsifie mwanaume mwingine mbele ya bwana wako its nature thing.......labda kama ni baba yako.......hata kama huyo mtu huwezi kuwa na access nae kama ulivyosema huna access na wasanii.....but dunia ni ndogo hii mamaa..wat if ikatokea ukakutana na diamond thru ur friends may be utampa? Coz kwako access ndo shida........na bwana wako kakuona utamjibu nini na alikusikia ukimsifia kupitiliza

Nature gani,ujinga tu na kuendekeza mambo ambayo hayana maana hlf mnajitia ioooh cc mwanaume ndo nature yetu.
 
Una akili sana wewe, kwa kifupi hataki binti awe na mawazo tofauti na yeye vinginevyo ni ugomvi wa kutishia penzi.

Jamaa bado ana akili za kitoto ukweli Dai domo amepiga hatua na yuko vizuri mweleze mchizi aache wivu na sisi wanaume ukiona mkeo anamsifia mtu fulani basi jipange na utafute status zaidi ya anayesifiwa sio blah blah tu mjini
 
Una uhakika na unachokiongea au unaongea coz umepewa nafac ya kuongea,kumcfia celebrity ni kosa ?,while anajua huyo daimond ata anikute uchi hawez nitamani,ni kutojiamini tu,nyie mwanaume wa cku izi waoga kweli
kwahiyo sina haki ya kuongea?kwani in real life inashindikana nini kutongozwa au kukutana na celebrity?
hayo madharau sana kumsifia mwingine kwa mpenzi wako,ipo siku ukienda show ya Diamond na mpenzi wako utaenda kumkimbilia Diamond na kumwonyeshea mahaba mbele ya mmeo
 
Arovera kwanini sasa huendi kwa hao unaowasifia na unawaona status yao ipo juu kuliko kumng'ang'ania huyo??
 
Last edited by a moderator:
Ondoka kaolewe na diamond

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Arovera kwanini sasa huendi kwa hao unaowasifia na unawaona status yao ipo juu kuliko kumng'ang'ania huyo??

Hv kwan ukimcfia mtu ndo unamtaka,?kwaiyo ww ukimcfia RVP unataka kuolewa nae?be wiseman once in lyf tym
 
Last edited by a moderator:
mi mwenyew huwaga nakerwa sana unakuta mpo wote wawili labda mmeongozana au mmekaa tu mwanaume anaanza kumsifia demu fulani masifa kedekede au mmeongozana katika pilikapilika anaanza kushobokea mademu na kujipendekeza kwao stori nyingii inamaana mimi hanioni tupo pamoja ama kaniona sifai???? nachukia sana hii tabia.
 
Una akili sana wewe, kwa kifupi hataki binti awe na mawazo tofauti na yeye vinginevyo ni ugomvi wa kutishia penzi.

io inanihusu hata mimi nikiona anamsifia sana demu basi najifanya kumsifia mkaka yeyote kiuzuri tu tu basi natishiwa kuachwa et nimfate huyo nayemsifia yani ni hekaheka hapatoshi yeye sasa akimsifia duu ukimwambia wee anakua mkali kama pilipili mbuzi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole zako, njembas nyingine hazijiamini inapotokea mupenzi anamsifia njemba mwingine kama ni mwanamuziki, mcheza mpira n.k. basi baadhi yao wanadhani unamtaka kimapenzi hata baadhi ya wadada wako hivyo. Mtu anayejiamini hili la kutofautiana kuhusu mafanikio ya Diamond kimuziki au kutofanikiwa wanaweza kuliongea na kila mtu akasema anavyoona yeye bila kuwepo tishio la kuachwa. Ukishamjua mupenzi ni mtu wa hivyo basi ni kumuunga mkono tu au kujinyamazia ili kuepusha tishio la kuachwa.

io inanihusu hata mimi nikimsifia mkaka yeyote kiuzuri tu tu basi natishiwa kuachwa et nimfate huyo nayemsifia yani ni hekaheka hapatoshi yeye sasa akimsifia duu ukimwambia wee anakua mkali kama pilipili mbuzi.
 
Hayupo hilo nina uhakika nalo nishakagua cmu,laptop,vyote yaan,na c mpz sana wa hzi mambo,

Yani Baby nimeamin kuwa w si wife material kabisa, umenikosea alafu umekuja kunianika humu ukadhani sipo JF? Sasa subiri moto wake wala usinitafute kabisa na lain nabadili..eboooooo
 
Jana bwana nilikua na shemeji yenu tumekaaa mahali tunaangalia world cup ile mechi ya saa nne basi bwana nikahisi kuanza kuboreka nikachukua headfon nikawa nasikiliza mziki yeye akiwa busy na mpira,

Na yeye akahisi mimi kuboreka akachukua headfon na yeye asikilize kile nichokua nackiliza ,wakati anachukua ulikua wimbo mpya wa Diamond unapigwa,

Basi bwana mara tukaanza kuongea mambo ya wanamuziki,nikawa namsifia Diamond bwana kwamba bwana mdogo anajitahidi ameanzia mbali ila he is somewhere now anajuhudi kwenye mziki yeye akawa anamponda .

kweli sijui hajui kuimba sijui mshamba sisi akataka na mimi ni msupport,alivyoona nampa fact eeeee niliamsha hasira za kipare ,

Ananiambia kama unampenda huyo Diamond si akakuoe sasa umefuata nini kwangu,

kiukweli sijui mambo ya Damond kunioa yalifikaje,aliongea sheet nyingi kwakweli,yaani mpaka sahizi kanuna hata sms ya morning sijapata na si kawaida yake yaani,

Hebu niambie wakaka hiiii inakuaje maaana simwelewi kwakweli,

Na anajua mimi na celebrity sio kivile sina hata access nao kwamba nitaweza hata kua karibu nao ,atakua amepatwa na nini huyu mwanaume?
Make your man feel special.
We mdada uwe na busara na utende mambo yako kwa kutumia Hekima. hata wewe unaweza kukutwa anga zako. Hii tabia ya kusifia jinsia nyingine huwa sio nzuri sana katika mahusiano.Mark my words. Kuna mtu anaweza akamchukia msanii kwakuwa tu anasifiwa sana na mpenzi wake. Mi nilikuwa na mpenzi alikuwa hapendi nimsifie wala kumtaja jack wolper haijalishi nachosifia kinaukweli wala uwazi huwa anachukia sana!!.ama iwe mwanamke yeyote wa kihindi ama kizungu.
Kwahiyo acha ku-mdisi mpenzi wako. Jua hajisikii vizuri. Wengi wanahisi hawana vigezo vya kupimana nao ubavu hao wasanii kwa sifa unazotoa na mwishowe wanagekuka kuwachukia kwa kujiona hawajakamilika, kwani wanahisi utafurahi ikiwa watalingana na hao hata kuwazidi.Na hii haihusiani na wewe kuwa na Access na huyo mtu. Thats it! Think BIG!
 
True that,ila kuishi na mwanaume asiyejiamini ni shida!!!
Huyu ukimsifu bosi wako kuwa ana roho nzuri mbele yake si uta pack mabegi uhamie huko kwa bosi?

Within a blink of an eye ushahama kwa nyumba.
Haaaaaa unamsifia bosi wangu eti ana roho nzuri!!!!????????
 
We dhaifu sana inaonekana unang'oleka kirahisi sana. Ningekua mimi ngekupiga kibuti wanawake wenyewe mpo wengi sanaa
 
Back
Top Bottom