MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Nyingi hiviHata mil 50 angepaform
Diamond huyu? Hata angeambiwa aperform free of charge, angeenda.Huyu mwamba ana msimamo Sana. Walitaka kumpa bil 2 kuperform siku ya fainali jamaa akasema Kama Beckham amekula bil 200 kuwa balozi basi yeye apewe bil 4 jamaa wakakataa, Diamond naye akachomoa kuperform .
Huu ni mfano mzuri kwa wasanii wetu kuwa na msimamo na vipaji vyao.
Mkuu achana na redio mbao, hivi unatambua thaman halsii na ukubwa wa TZS 2Bn!? Hivi unatambua bingwa mpya wa soka wa dunia, timu ya taifa ya Ajentina imelipwa kiasi gani cha fedha kwa uwiano na fedha ya Kitanzania?Huyu mwamba ana msimamo Sana. Walitaka kumpa bil 2 kuperform siku ya fainali jamaa akasema Kama Beckham amekula bil 200 kuwa balozi basi yeye apewe bil 4 jamaa wakakataa, Diamond naye akachomoa kuperform .
Huu ni mfano mzuri kwa wasanii wetu kuwa na msimamo na vipaji vyao.
Ushuzi baridi huu.Huyu mwamba ana msimamo Sana. Walitaka kumpa bil 2 kuperform siku ya fainali jamaa akasema Kama Beckham amekula bil 200 kuwa balozi basi yeye apewe bil 4 jamaa wakakataa, Diamond naye akachomoa kuperform .
Huu ni mfano mzuri kwa wasanii wetu kuwa na msimamo na vipaji vyao.
Billion 2 zote hizo na wakati child support Kwa Mobetto anabwabwaja ovyo mitandaoni, misemo ya kuchamba kila kukichaHuyu mwamba ana msimamo Sana. Walitaka kumpa bil 2 kuperform siku ya fainali jamaa akasema Kama Beckham amekula bil 200 kuwa balozi basi yeye apewe bil 4 jamaa wakakataa, Diamond naye akachomoa kuperform .
Huu ni mfano mzuri kwa wasanii wetu kuwa na msimamo na vipaji vyao.
Kwa takwimu za haraka haraka kutoka katika Google Search EngineBillion 2 zote hizo na wakati child support Kwa Mobetto anabwabwaja ovyo mitandaoni, misemo ya kuchamba kila kukicha
Hiyo taarifa ya Beckham kulipwa 200B ni sahihi?Mkuu achana na redio mbao, hivi unatambua thaman halsii na ukubwa wa TZS 2Bn!? Hivi unatambua bingwa mpya wa soka wa dunia, timu ya taifa ya Ajentina imelipwa kiasi gani cha fedha kwa uwiano na fedha ya Kitanzania?
Unaitambua "net wealth" ya Diamond, ama ile Beckham mpaka uweze kuwafananisha katika kuingia mikataba na dili za kimataifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nadhani ni chaiWee,sema kweli?πππ