Diamond kaonesha msimamo sana kukataa kutumbuiza Qatar kwa bilioni 2

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Huyu mwamba ana msimamo sana. Walitaka kumpa bil 2 kuperform siku ya fainali jamaa akasema kama Beckham amekula bil 200 kuwa balozi basi yeye apewe bil 4 jamaa wakakataa, Diamond naye akachomoa kuperform.

Huu ni mfano mzuri kwa wasanii wetu kuwa na msimamo na vipaji vyao.
 
Huyu mwamba ana msimamo Sana. Walitaka kumpa bil 2 kuperform siku ya fainali jamaa akasema Kama Beckham amekula bil 200 kuwa balozi basi yeye apewe bil 4 jamaa wakakataa, Diamond naye akachomoa kuperform .

Diamond huyu? Hata angeambiwa aperform free of charge, angeenda.

Ungesikia 'brother, mimi nimelipwa zaidi ya Billion 10' kuperform kwa dakika 10 tu hapo Qatar.

Diamond hata shoo ya Million 500 hajawahi kupata. But Wizkid had for more than Tsh 2Billion
 
Huyu mwamba ana msimamo Sana. Walitaka kumpa bil 2 kuperform siku ya fainali jamaa akasema Kama Beckham amekula bil 200 kuwa balozi basi yeye apewe bil 4 jamaa wakakataa, Diamond naye akachomoa kuperform .
Huu ni mfano mzuri kwa wasanii wetu kuwa na msimamo na vipaji vyao.
Mkuu achana na redio mbao, hivi unatambua thaman halsii na ukubwa wa TZS 2Bn!? Hivi unatambua bingwa mpya wa soka wa dunia, timu ya taifa ya Ajentina imelipwa kiasi gani cha fedha kwa uwiano na fedha ya Kitanzania?

Unaitambua "net wealth" ya Diamond, ama ile Beckham mpaka uweze kuwafananisha katika kuingia mikataba na dili za kimataifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Billion 2 zote hizo na wakati child support Kwa Mobetto anabwabwaja ovyo mitandaoni, misemo ya kuchamba kila kukicha
 
Kwa takwimu za haraka haraka kutoka katika Google Search Engine

Mshindi wa kombe la dunia amejipatia zawadi yenye thamani ya kama $ 42Mn

Net worth ya David Beckham ni $ 450Mn na ile ya Diamond ni kama $ 7Mn

Ebu jaribu kukotoa wewe mwenyewe katika madafu ya kibongo ili upate angalau kuuona ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu achana na redio mbao, hivi unatambua thaman halsii na ukubwa wa TZS 2Bn!? Hivi unatambua bingwa mpya wa soka wa dunia, timu ya taifa ya Ajentina imelipwa kiasi gani cha fedha kwa uwiano na fedha ya Kitanzania?

Unaitambua "net wealth" ya Diamond, ama ile Beckham mpaka uweze kuwafananisha katika kuingia mikataba na dili za kimataifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo taarifa ya Beckham kulipwa 200B ni sahihi?
Inakuwaje balozi alipwe mkwanja zaidi ya mara mbili ya mshindi wa WC yaani Argentina?
 
Back
Top Bottom