[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii comment nimecheka sana, kumbe wee ni mweupe hivi? Mungu wangu tobaaaaaaaah.Nyumba ya S.A bado mnabisha kuwa siyo ya kwake mpaka leo? Aisee
Kama ni show off ebu tuchukulie hizi japo mimi siamini kama ni showoff
Kumiliki Wasafi Radio na TV ukawalipa mishahara wafanyakazi zaidi ya 50 wanaofanya kazi pale.
Kusafiri na msululu wa watu kila mara.
Kumiliki wasanii ambao nao wana show off kama Rayvanny, Zuchu na Mbosso. Hiyo ela ya showoff wanazofanya wanazitoa wapi?
Cheka uongeze siku siyo vibaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii comment nimecheka sana, kumbe wee ni mweupe hivi? Mungu wangu tobaaaaaaaah.
Muambie ukweli huyo chawa wa domokaya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasafi Radio na TV yeye ndiye mmiliki kumbe?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. Nilifikiri ni Kusaga & Family..
South ana ghorofa alafu Bongo kapanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safari binafsi anasafiri na Msululu kumbe.. Hongera zake..
Hao wasanii wanakula jasho lao, hawali pesa ya Daimond. After all hao wasanii wake wote nao wanakaa nyumba za kupanga kama boss wao. Itakuwa nao wana malengo ya kujenga dream house kama boss wao au sio [emoji23][emoji23][emoji23]
To make a story short, Wasafi wanapenda show offs ila wana malengo ya muda mrefu ya kujenga dream houses
Ficha aibu yako bhana, kujifanya mjuaji na umekalishwa mchana kweupe, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeh.Cheka uongeze siku siyo vibaya
Eti eh basi nishaificha mkuuFicha aibu yako bhana, kujifanya mjuaji na umekalishwa mchana kweupe, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeh.
Kwa ku inspire madogo kaweza.Starting from the bottom now he is here.
Kwa hilo namuheshimu. Siyo mwanasiasa, siyo profesa, lakini ana roll na watu top notch nchi hii.
Kupitia yeye vijana wengi wamejua kuwa everything ia possible haijalishi umetokea kwenye background gani.
Wew jamaa itakua hujua biashara kwani alivyoanzisha chibu perfume alikwambia hiyo biashara ataifanya kwa miaka 10 inawezekana alifanya akaona haina faida kwake akaiacha na hata wew ukianzisha biashara ukaona hailipi si unaacha tuu au unataka awaaminishe watanzania kwamba bado anafanya biashara wakati anapata hasara
😂😂😂😂Mmmhhh Mwananyamala hii hii niliyokulia mimi?
Hebu nipe habari isijekua nimeuzwa huku sina habari.
Kwa hyo ndo amekwambia uje useme haikuwa na faida au hayo NI MANENO yako?
Mmmhhh Mwananyamala hii hii niliyokulia mimi?
Hebu nipe habari isijekua nimeuzwa huku sina habari.
Kaa kwa kutulia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti eh basi nishaificha mkuu
Uko sawa kabisaKaa kwa kutulia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe jina lako Mjinga nilikua sijui nabishana na tahira
Usijar bhana, usichukulie serious.Uko sawa kabisa
Nimechukulia kawaida ndiyo maana comments zangu ziko positiveUsijar bhana, usichukulie serious.
Hapo safi.Nimechukulia kawaida ndiyo maana comments zangu ziko positive