Ni "thamani" mkuu, sio "dhamani"Msanii wa kizazi kipya diamond platinumz sasa anamiliki gari aina ya land cruiser v8 mpya! Rekodi ambayo Haijawai kuvunjwa na msanii yeyote ktk nchi hii! Ikumbukwe v8 ni gari la kifahari linatumiwa na viongoz wa juu nchini km waziri mkuu na baadhi ya mawaziri ! Inakadiriwa kuwa na dhamani ya mil 300! Ni dhahiri shairi huyo kijana sasa ametoka! ! Hongerasana naseeb!
nakumbuka p square walipokuja bongo waliulizwa juu ya utajir wao wale jamaa walijibu short n clear kuwa wao sio matajir na hawana mali kihvyo kama watu wanavyosema ila wanashukuru mungu kila wanachotaka wanakipata kwa wakat muafaka na wakasema hawapend maswal hayo coz tour yao ni yakimusic sio kujitangaza kuwa ni matajr.. sasa moyon nikajisemea dah indekua mbongo hapo uwiiiii angetiririka hadi vyakuazima angesema vyake.
Lazamami unalo hujuwi magari yanayo toka bandarin asilimia 90 niyazamani lakini kwasababu mdio umekipata na hukuwa nacho nikipya kaka mtowamada hana jipya nawewe tuoneshe jipya lako tulitasmini ongera sana diamond upo juu kuliko wenzako na huna kiburi watachonga sana ma kupakazia sana wakamwambie huyo mganga wao yahaya unazidi kupaa kaza buti plutnum
Kuna miradi gani amewekeza ambayo itamwingizia kipato hata aki-fall kimziki leo. Wasani wa bongo wajipange siyo anakufa leo tunaambiwa tuchangie gharama za mazishi.
SIo kosa LAKE JAMANI KIBONDO ALIPO GARI KAMA HILO
kwenye akauti yake anasema ana billion 5
Dogo awekeze maake ni kweli mziki hautabiriki lakini ni ukweli dogo kapiga hatua sana kwenye sanaa! Hatutegemei aje kua km mr nice au kandabongoman anaefanya kazi km mhudumu ktk shell moja!
siri ya mtungi aijuaye kata komaa kaza kisha utapata,siri ya mchezo naijua mimi tu na hakuna mwingine
Kama ilivyo CRDB Bank. Ile 'B' ni Bank
Kanda bongoman kawa fuel attendant.. Duuh!
Ila kukuweka sawa, nadhani ulimaanisha petrol station au kituo cha mafuta.. Shell ni jina la kampuni, halimaanishi kituo cha mafuta. Labda awe anafanya kwenye kampuni ya shell.. Wengi wamekariri kuwa vituo vya mafuta huitwa shell, kutokana na miaka ya zamani biashara hyo kufanywa na shell na bp pekee..
Kwa shoo zipi anazofanya? tunatakiwa tuvumbue macho sasa. Je analipa kodi ya mapato kama anavyopata?
Anafanya shoo wapi na wapi mpaka anapata hela nyingi hivyo?
ana vitega uchumi vp ambavyo vinampa kipato tofauti na muziki?
Nahitaji kulijua zaidi soko lake la muziki na VYANZO VYA MAPATO kabla sijasema neno katika Uzi MAALUM
mkuu umenena point isije ikawa kama ya wema nyumba ya milion 500 kanunua ili tuamini bongomovie inalipa kumbe kuna mtu anayemuweka mjini
Ni v8 mpya kaka na bei yake ndo kwenye mil 300! Cyo ile prado ya zaman ! Dogo kaingiza mkoko mpya juzi kati!
Petrol station kwa tafsiri rahisi ni kituo kinachouza petroli, je sehemu inapouzwa diesel, kerosine na petrol yenyewe itaitwaje? Why not Petrol, Kerosine & Diesel Station?! Anyway, I am only thinking louder!
Kubali bure tu bibie kuwa kila mtu ana makosa.
Cha maana kujisahihisha, Barabara ya Kilwa Road ni makosa yaliyojijenga kichwani.
V8 VX Toyota landcruiser au Sahara kwa USA au Amazon kwa UK ni mpaka usd 95 alfu bila kulileta na bila kodi. Ni sh ngapi za kibongo? Kodi yake waijua?