Diamond platinumz atupiwa jini, lampata mama'ke!

Jini katupiwa na hasimu wake wa kimuziki.



Khaaaa! Chuki zitakuua matumbo!
 
Last edited by a moderator:
Hivi jini linalinganaje mpaka litupwe kwa mkono wa mwanadamu?

Je ni kama punje ya mtama?

kuku?

Jini yuko kwenye mfumo gani hivi?

Kwanini jini/shetani/ruhani haonekani kama anavyo-onekana binadamu hivi?

Enhee.. akishakuingia, je anakuganda kama damu? anakuwa anaishi wapi? moyoni au mgongoni?

hmm...
 
Khaaaa! Chuki zitakuua matumbo!

We kwel hujaona maajabu mim naamini uchawi upo na mtu anaweza akakutumia jina la ugonjwa utashangaa unaungua malaria unaenda hosp siku 2 tatu unaukata! kuna jamaa alikuwa anadaiwa anadaiwa na rafiki yake hela nying sana hadi ikafika wakati jamaa akataka kuchukua nyumba ya jamaa! jamaa kampeleka kwa mganga jamaa anaemdai wala hakumbuki tena kama anamdai jamaa hela! hzi mambo zipo usibishe!
 
Last edited by a moderator:

Teh Teh Aiseee
cc Dinazarde Jestina Jambazi
 
Last edited by a moderator:

Ulikuwepo eneo la tukio !tupe picha mkuu
 
Hivi hawa Global ni Mungu gani wanamuongelea hapa? eti hakipenda Jini limpate Diamond ..kwa hiyo likampata mamaye!

Ujinga mtupu...

Lawyer Ebu nisaidie hapa watu wanamchamba Diamond? Mpeleka habari global publisher? Au global publisher wenyewe? JF watu wana stress, yaan joto hasira lol! Yaani thread ikianzishwa tu utawaona wanavyoanza kuhororojoka in (@faizafox's voice) Hawajui ukweli wa habari as long as global publishers are concerned mhhh. Nilitegemea kwa watu wanaojiita great thinkers wataanza kuhoji ukweli wa habari badala yake wanarukia kum attack diamond. Kwanini tusiamini kuwa they just hate him! !
 
Imani za kiswahili tu; iweje vijana wenye mafanikio makubwa sana hapa mjini kama akina Joseph Kusaga, Davis Mosha, na vijana wengineo wa kiwango hicho hawajatupiwa majini hayo. Kupooza ni ugonjwa unaotokana na sababu nyingi sana, hospitali wakimpima watapata jawabu. Kuna sababu zinazotokana na mazingira tunamoishi zinazoweza kusababisha paralaysis. kwa mfano kuumwa kupe au kunguni tunaweza kupata sumu inayoharibu nervous system na kuparalyze. Kwa sisi tunaopikia mkaa, tunatakiwa tujizuia kupikia ndani ya nyumba kwani ile carbon monoxide inayotokana na kuwasha mkaa pia inaweza kusababisha paralysis.
 

binti kiziwi...hawa global wana msakama sana Diamond na lengo lao ni kuuza habari wanajua wabongo wanavyo penda habari hizi lazima warukie ..na wale wanao mchukia Kijana nao wanapata pakusemea...!
 
Last edited by a moderator:
Kama kweli ni jini basi dawa yake ni ndogo tu apelekwe kwenye maombi . Kuna makanisa yanaombea buree hutoi senti tano wanafunga wao na kukemea wao wenyewe wewe kazi yako ni kuwapa mgonjwa tu. Sehemu nyingine n pale EMAUSI centre nyuma ya Ubungo stendi ya mkoa ampeleke atapona within no time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…