Diamond platinumz atupiwa jini, lampata mama'ke!

Duh GPL imekusanya hadi GT inaburuza hapa bila watu kujua hakika uyu Erick fundi maana sijaona hata ambapo dogo kasema ni majini ila wao wamejitungia hadithi yao na ma-house girl wamebana hela zetu za mboga wamenunua kama njugu mbaya zaidi takataka imeibukia JF na tupo tunatoana akili hapa bila sababu
 

Hahahaaa, u make my night happier than it was. Afu cha ajabu the so called Great thinkers wana comment bila kuona hata ni wapi Mr platinum aliongea hilo Suala! Kwani mi nashindwa nini kuzusha kuwa McDonaldJr alinambia kuwa Ruttashobolwa mchawi! Si ndo kilichoandikwa hapo na Shigongo! Kweli wa Tz ukifanikiwa kuwapa uongo kwisha habari yao!
 
Last edited by a moderator:

Siku hizi umbeya hata haunogi.
Wanatuletea habari zenyewe mbaya mbaya tu tena zenye shutuma za ovyo tu. Sasa hapo mtu unaanzaje kumjadilia mtu uchawi mara sijui majini......khaaaa!!!!

Hivi Dai na dini yote hiyo alonayo ni wakushindwa kupata huduma ya kumtoa huyo pepo hadi leo hii? Global waache sasa wamezidi aisee....wanajiropokea tu vile wanavyojisikia. Au Shigongo ni mshirikina nini ndo maana anaona simple! Nitafurahi sana siku naye wakimlipua
 
Last edited by a moderator:
Nasikia watu wanalipa pesa kununua haya magazeti na hawayakosi... yaani wana moyo kishenzi!! Magazeti gani haya kila wakati kuandika upuuzi? Mbaya zaidi, wengine wanayaona ndio source kabisa ya habari...!!!
 
Unaambiwa Watanzania tuna habari fifi sijapata kuona! Hii habari nilikuta kwenye blog ya Le Mutuz... nilikuwa sijawahi ku-visit blog yake nikashangaa kukuta mtu kama Le Mutuz nae ana-post ujinga ujinga... au sijui ndo ile unawapa watu ile kitu unapenda wakati kama mimi ni advertiser wala siwezi kulipia matangazo kwenye blog ambayo visitors wake ni wapenda mambo ya kijinga kijinga kv nafahamu hamna mnunuzi miongoni mwao na ndio maana Michuzi ndie anayekula mkwanja wa kutosha kwenye matangazo coz' huwezi kukuta habari za kipuuzi kama hizi kwenye blog yake.
 
Hivi uliwahi kujiuliza ule upuuzi wa habari ya Chege na kitambaa cheusi ingekuwa ndo Diamond?! Manake kama ni wanawake wangeunguza kwa kushadadia upuuzi na kama ni wanaume wangejisahau kwamba wamevaa kanga wakati wapo ndani na wakatoka hadi nje na kanga zao viunoni!
 
ni nani aliyeliona? kwa hiyo India anaenda kulitoa au?
Aliysema ametupiwa jini ni Diamond au GPL? Diamond kaona mama ake anaumwa kaamua kumpeleka India GPL wanateneza stori na kuleta habari za majini!! Huyo mama alipelekwa India almost a month now na sio kwamba ndio anaenda!
 
Shigongo ni genious sana yaani katunga story wapumbavu wanaanza kubishana na kuamin ama kweli wajinga bado hawajaisha
 
matumbo ni mchawi chunguzeni comment zake.
 
Last edited by a moderator:
Pole diamond kwa kuuguliwa na mama yako.
amini Mungu atamponya
 
Na ntakuroga kweli, nyege zako niziamishie nyuma ili uwe na adabu.

Acha matusi we mbwiga alafu lazima we utakuwa punga, ukiona hivi lazima. Nenda kambashie baba yako...
 
mambo mengine bwana!!! utajuaje mtu ni mchawi kama wewe sio mchawi??? kwahiyo wote wanaopelekwa india ni wametupiwa majini???

Hebu wakati mwingine mambo mengine mshirikishe ubongo gpl, mambo km hayo ni ya kumfariji mtu sio kuzidi kumuumiza, hv mnadhani kuuguliwa na mama(tena kipenzi) ni mchezo eeh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…