Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Binam unaangalizia wapi notification??hakuna vitu hapo vimepangana edit pofile
Edit avator
Ignore list
Huvionii

Nimekuelewa, eeh mbona nitaweka ignore list watu wengi? Faida ya kumuweka ignore list n nini? Yan unakuwa huwez kum quote au kumtag au huwez kumuona kabisa?? Nambie kwanza kabla sijajua
 
Nimekuelewa, eeh mbona nitaweka ignore list watu wengi? Faida ya kumuweka ignore list n nini? Yan unakuwa huwez kum quote au kumtag au huwez kumuona kabisa?? Nambie kwanza kabla sijajua

Unakua huoni alichokiandika,,,wala humqoute,wekamo wote wanaokusumbuaaa
 
Nimesham report tu ila sijaona sehem walioandika ignore list

Ulireport kwenye kale kadude kekundu eeee,kameandikwa report abuse,,,halaf ikaja page uandikee then una send report,,uwe unarudia kusend mara nyingi wataipata tu
 
Ulireport kwenye kale kadude kekundu eeee,kameandikwa report abuse,,,halaf ikaja page uandikee then una send report,,uwe unarudia kusend mara nyingi wataipata tu

Nimeona wameandika its sparm mi nikafuta nikaandika id ya huyo kibwengo sijui mepatia au vp
 
Nimeona wameandika its sparm mi nikafuta nikaandika id ya huyo kibwengo sijui mepatia au vp

Binam utakuja Mwanza nikuelewesheee,sijasomea ualimu na picha sijui kuweka NasDaz njoo unisaidie kutoa maelezo


N
 
Last edited by a moderator:
Nipishe apa ushanivuruga, eeh kuna mtu naona kutwa anahangaika kunitukana humu na kunitag ovyo, yan anahangaika na warumi mpaka nimemuonea huruma maskini

ha ha ha nani ahangaike na wewe mtoto si riziki.
 
Last edited by a moderator:
Ok, ahsante binamu, ngoja nifanye hvyo

sio kama nakutukana ila nipo kukemea hiyo tabia yako ya kujifanya dada huku ni ku mkufuru alie kuumba,umezaliwa mwanaume but huutaki uanaume umegeuka kua cho.ko hiyo ni laana.....nakujua vizuri sana,watu wataniona kama nakuonea but naongea ukweli wewe warumi acha tabia yako ya ukike.
 
Last edited by a moderator:
Nimeona wameandika its sparm mi nikafuta nikaandika id ya huyo kibwengo sijui mepatia au vp

ha ha ha daah nakuonea huruma kweli but ujue nini sitoacha kukemea hiyo tabia yako chafu ya kugeuza jinsia yako eti ufanane na dada zarina.
 
ingieni you tube kuna kichupa kipya cha diamond cha ukweli ajabu daah "nitampata wapi" huyu dogo ni habari nyingine.
 
Binam utakuja Mwanza nikuelewesheee,sijasomea ualimu na picha sijui kuweka NasDaz njoo unisaidie kutoa maelezoN

Aje anisaidie
Picha ya vipi Dina... manake nimefuatilia maongezi yenu na huyu binamu yako mwenye mahaba na ban lakini sijapata jibu unazungumzia picha ya aina gani.. I mean picha ya kawaida from your storage memory au screenshot?? Anyway, labda nizungumzie both cases:
Kama ni picha ya kawaida ambayo tayari unayo kwenye storage memory, fuata taratibu zifuatazo:
1. Hapo juu kuna row imeanza na B I U. Kulia kabisa kuna ki-speaker.... . Anza kuhesabu ukianza na hicho kispika kuelekea kushoto. Icon ya sita, ipo dizaini kama mkanda wa filamu... ukitaka ku-attach video, una-click hiyo icon lakini kv sio video, tuachie hapo! Baada ya hiyo film icon, inayofuata kuelekea kushoto ndiyo kwa ajili ya image... Kwanza, weka cursor yako pale unapotaka picha ikae kisha click hiyo Icon (Insert Image)!
2. Ukisha-click, itafunguka dialogue box ambayo kwa juu itakuwa na maneno "Insert Image"
3. Chini ya maneno Insert Image utakuta options mbili--- (i) From Computer, (ii) From URL
4. Kama picha ipo kwenye Computer/simu, uta-click From Computer... kisha nenda chini click "Choose File" na hapo itafunguka box ili kutafuta hiyo pic from PC... ukiiona hapo ulipoiweka, utai-click(single click) hadi uhakikishe jina la hiyo photo linatokea kwenye sehemu iliyoandikwa File Name kwenye hilo box ambalo limefunguka! Likishatokea hilo jina kwenye File Name, uta-click Open kisha utarudishwa kwenye ki-box cha awali ambach kimeandikwa From Computer/URL
5.Then click Upload File(s)... subiria sekunde chache na mzigo utakuwa ushatua!!!

Kama picha haipo kwenye computer ila kwenye net, njia nyepesi ni kuanza kui-save hiyo picha kwenye PC kisha unafuata above procedures.
 
Achana naee muweke ignore list nenda kwenye profile yako tafuta neno ignore list ingia halaf utaona sehemu ya kuandika jina,andika jina la huyo unaetaka kumuweka kazi ndogo kama huwezi kuvumiliaa
Kama shida ya warumi ni kumu-ignore Dinazarde kwavile amezidi kuuchonga, anachotakiwa warumi ni kungia kwenye profile ya huyo Dinazarde. Chini ya Avatar ya Dina, third option ataona imeandikwa "Add to Ignore List" Click hapo, kisha atapata message kama kweli anataka kukuchinjia baharini... akisema YES, you're done!!!!
 
Nimekuelewa, eeh mbona nitaweka ignore list watu wengi? Faida ya kumuweka ignore list n nini? Yan unakuwa huwez kum quote au kumtag au huwez kumuona kabisa?? Nambie kwanza kabla sijajua
Hii kitu bhana, JF wanatakiwa ku-improve setting zake!! Hivi umeshawahi kuona ama kusikia mtu anapita mahali halafu watu wanaanza kumcheka kichini chini... jamaa anajiuliza, hawa wanacheka cheka nini... hana jibu, kumbe, zipu ipo wazi na mjomba anachungulia lakini jamaa hana habari!!!!!!

Sasa basi, assume umemweka Dinazarde kwenye ignore list... c unajifanya umesusa, JF wanasema Poa, kwavile umesusa basi kila anachoandika Dinazarde hutakiona NG'O lakini wewe ukiandika, Dina anaku-enjoy kama kawa... uliyesusa si wewe, kwani yeye!!!

Now assume, umejishembendua shembendua hapa halafu Dina akakupa makavu live... yale yale ya kuumiza hadi kwenye mishipa ya damu!! Utashangaa tu kutuona akina NasDaz kila tukikuona tunaanza kucheka chini chini... hujui kulikoni, huku tukiziba midomo kwa viganja vya mkono ili tusitoe sauti!! Sasa akitokea mbeya mwenzako aliyekubuhu akaamua kuua kabisa na kusema "Dina bhana, wala siamini... yaani warumi huyu huyu ndo kafanya hayo mambo, mungu wangu, yaani nilikuwa namuona wa maana kweli...!!" Dah... si kukuuma huko... manake wala hujui Dina kapiga mashuti gani...! Unaweza kujikuta baada ya dakika tano unaenda kumtoa kwenye ignore list ili uone kinachowafanya watu wacheke chni chini kila wanapokuona!!!!

Hiyo inaitwa UKISUSA, WENZIO TWALA!
 

mimi nataka kukuweka wewe kwenye Ignore list yangu lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…