zai katoto
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 325
- 227
Jamani Daimond ametoa ngoma kaliiiu kiamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
we mtoto,umeickia wap na n ofical au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani Daimond ametoa ngoma kaliiiu kiamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kwenye profil yangu mbona sion report
we mtoto,umeickia wap na n ofical au
Binam unaangalizia wapi notification??hakuna vitu hapo vimepangana edit pofile
Edit avator
Ignore list
Huvionii
Halaf tafuta neno submit kwa chinii nadhan unaelewaa
Nimekuelewa, eeh mbona nitaweka ignore list watu wengi? Faida ya kumuweka ignore list n nini? Yan unakuwa huwez kum quote au kumtag au huwez kumuona kabisa?? Nambie kwanza kabla sijajua
Jamani Daimond ametoa ngoma kaliiiu kiamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nimesham report tu ila sijaona sehem walioandika ignore list
Ulireport kwenye kale kadude kekundu eeee,kameandikwa report abuse,,,halaf ikaja page uandikee then una send report,,uwe unarudia kusend mara nyingi wataipata tu
Tafuta binamu mwingine, nimekugaya, ubuyu akakupe huyo hyo ndomo wako , umfuate uko uswahilin sinza akupe umbea
Ok, ahsante binamu, ngoja nifanye hvyo
Nimeona wameandika its sparm mi nikafuta nikaandika id ya huyo kibwengo sijui mepatia au vp
Binam utakuja Mwanza nikuelewesheee,sijasomea ualimu na picha sijui kuweka NasDaz njoo unisaidie kutoa maelezoN
Picha ya vipi Dina... manake nimefuatilia maongezi yenu na huyu binamu yako mwenye mahaba na ban lakini sijapata jibu unazungumzia picha ya aina gani.. I mean picha ya kawaida from your storage memory au screenshot?? Anyway, labda nizungumzie both cases:Aje anisaidie
Kama shida ya warumi ni kumu-ignore Dinazarde kwavile amezidi kuuchonga, anachotakiwa warumi ni kungia kwenye profile ya huyo Dinazarde. Chini ya Avatar ya Dina, third option ataona imeandikwa "Add to Ignore List" Click hapo, kisha atapata message kama kweli anataka kukuchinjia baharini... akisema YES, you're done!!!!Achana naee muweke ignore list nenda kwenye profile yako tafuta neno ignore list ingia halaf utaona sehemu ya kuandika jina,andika jina la huyo unaetaka kumuweka kazi ndogo kama huwezi kuvumiliaa
Hii kitu bhana, JF wanatakiwa ku-improve setting zake!! Hivi umeshawahi kuona ama kusikia mtu anapita mahali halafu watu wanaanza kumcheka kichini chini... jamaa anajiuliza, hawa wanacheka cheka nini... hana jibu, kumbe, zipu ipo wazi na mjomba anachungulia lakini jamaa hana habari!!!!!!Nimekuelewa, eeh mbona nitaweka ignore list watu wengi? Faida ya kumuweka ignore list n nini? Yan unakuwa huwez kum quote au kumtag au huwez kumuona kabisa?? Nambie kwanza kabla sijajua
Kama shida ya warumi ni kumu-ignore Dinazarde kwavile amezidi kuuchonga, anachotakiwa warumi ni kungia kwenye profile ya huyo Dinazarde. Chini ya Avatar ya Dina, third option ataona imeandikwa "Add to Ignore List" Click hapo, kisha atapata message kama kweli anataka kukuchinjia baharini... akisema YES, you're done!!!!