Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hivi kolabo na rick ross, chriss brown na rihanna imekuwaje?
Mana tuliambiwa management ya rihanna walipewa cv yake waipitie ..
Davido kama.mdau mmoja hapo juu anasema alikaa almost mwaka akitafakari hadi kuna wakati alikua na stress anazihamishia kwenye social networks, ila kawa mvumilivu naona sasa anasomeka na ngoma zake mbili hivi.
 
Game linampeleka puta sana.....aache kutoa ngoma kwa mazoea maana watu asa ivi wapo siriaz na kazi....ukiangalia madude anayoyafumua davido cyo ya mchezo mchezo

Kweli saivi asahau nominations zile za kupambana na kina davido na wizkid , kwa wimbo upi wa kupambana na kina wizkid? Tangu atoe ile ya Mary me na Neyo naona ndo alipoanza potea, maana ule wimbo haujamfanya apate nominating yoyote kama wimbo wake wa number one remix, mdogo mdogo, na ule wa ngololo.

Pia uhusiano wake na Bashite umemshusha thamani kama bongo movie . Halafu saivi anaonekana kama msanii wa clouds media vile ye kila kitu clouds kasahau kuna vituo vingine pia
 
Mlikuwa wote kipindi anatambika apo mwanzo......sometime muongee point siyo unakurupuka tu utafiki umekunywa maji ya chooni
Wewe humjui huyo sisi tunamjua toka alivyokuwa akiishi tandale hana mbele wala nyuma shenzi zako usifikiri tunakurupuka tunajielewa sanaa kafie mbele
 
Sio kweli davido hajawai kukaa kimya kwa madhumuni ya kusoma game, bali mkataba wake na sony ndio uliokua unamyeyusha kwenye utoaji ngoma
 
Wahenga tunasema wakti ni ukuta, ukishindana nao utaumia mwenyewe..

Muda ni mwalimu mzuri
 
Hater Hater Hater...!

Kumuita Mtu DOMO inaonekana Kabisa we Ni hater..! [HASHTAG]#Over[/HASHTAG]
 
Tatizo dogo anacopy mno#chambua kalanga,eneka,kokoro,kidogo kiitikio kakopy kwa Richie lione,(all long night)sik iz anarudia nyimbo,eg hello ,pia anakurupuka,mim sikuiz nasikiliza nyimbo zake za zaman tu eg kesho,natakulewa ,ntampata wap
 
Nani kakwambia anakosea? Au majungu yako? Nadhani mpaka hapa alipo si kwa ushauri wako!! Naomba ukae kimya wewe!
 
Majungu bhana, kuna mwingine alikuwa anauliza eti Gwajima mbona aonekani au ndio kashapotea? Sasa sijui kila siku alikuwa anaonana nae wapi aje kumuuliza humu!!!
 
Imba na wewe mkuu, kishafanya yake kadiri mungu alivyomjalia na ni kati ya wasanii waliotumia vizuri muda wao.
 
Domo bado ila kinachom cost kutaka kutoa ngoma kila wakati mwishowe anaonekana km vile unajitutumua kwa kazi aliyoifanya miaka 5,6 iliyopita angepumzika kwanza km mwaka bila ngoma,labda anaogopa kuambiwa ameisha lkn amesemwa mangapi ashindwe kupumzika kidogo kwa faida yake na mashabiki wake?

Bora waseme umepumzika kuliko waseme umeisha,huna lawama km Mshana Jr alivyosema pumzika kidogo baba Hamisa
 
Ngoma zake za Kamwambia, Mbagala, Moyo wangu zilikuwa ni hot sana, akaja akatoa number one baada ya hapo hamna nyimbo ya maana tena aliyotoa. Mara aimbe taarabu, mara sijui nyimbo inaitwa mdogomdogo n.k

HAKUNA TENA YA MAANA ALIYOTOA.

Kijana anapaswa kuachana na miziki ya kinigeria na za magharibi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…