Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
-
- #861
aii nyotaaa.... nyota ndo tatizo languu...
ai nyotaaa... mpaka nalia pekeangu....
ai nyotaaa.... nyota ndo shida yaanguuuu.....
nyotaaaaaa..... umenizidi uwezo wanguu.....
alonifanya silalii, jua kaliii nitafute tukalee..... lakini hata hakujalii..... darling... akatekwa na waleee.....
hapana chezea aisee nishaimeza, ngoma iko poa sana fanya kuchomeka earphone usikilizie vitu lol hatariiiiii
Mimi kama shabiki wa muziki ni,siye na team yoyote sijui kiba sijui diamond nasema hivi mashabiki msimdanganye kijana wetu
Diamond level yake ya,muziki inashuka tena kwa kasi mnooo hebu angalia nyimbo kama boom boom mdogo,mdogo na,huu nitampata wapi jamaa hajafika kwenye level yake
Ukwel ni kwamba wema na diamond hawajaachana kijana ametumia hii kitu kama kawaida yake ku creat attention yetu ili atoe ngoma mpya ambayo ni nzuri ingawa haijafika level zake
ukiangalia kwa makini karudia sauti tu za nyimbo zake kama mawazo na,kubana sauti but hakuna kipya.......Tumwambie ukweli kijana,wetu ili muziki wetu ukue siyo kushuka
Samahani kwa,wale mahaba niue au mahaba nipofue...
hii ni sauti ya rais iliyo mshinda ibilisi kwa mwanaderesalama sio rahisi.......
Wana jifanya wana ponda kumbe wanaumia wana imba kimya kimya jirani wana shida sana.
Haukatazwi kuendelea na hizo Conspiracy Theories...Ukwel ni kwamba wema na diamond hawajaachana kijana ametumia hii kitu kama kawaida yake ku creat attention yetu ili atoe ngoma mpya ambayo ni nzuri ingawa haijafika level zake
diamond amenikera sana....... najuta kumaliza MB zangu kudownload huo wimbo
Sawa tumeshajuwa kama katoa single mpya, hizo zingine ni porojo tu kama za Le Mutuz.
Diamond yupo na Wema ila promo zake za kutengeza scandle zimepitwa na wakati.
huyu dada kwa hii vdeo ya chibu kaigiza vzuri sana aisee
nenda kwAmwambie hii ni sauti ya rais iliyo mshindaga
ibilisi kwa mwanadaresalama sio rahisi....mwambie ajue
kutofautisha msalaba na + ,x na kuzidisha....ha ha ha ha mtaa wa saba
wamepanic!!!
Dinazarde embu watangazie, wale waliokuwa wanasubiri lift ya kubebewa kavideo kao ka mwanadareslam ndio wawahi kituoni, gari la platnumz ndio limetoka, wasije tena wakazubaa wakapitwa wakaanza oooh!! jamaa mchoyo, wachangamkie fursa hii.
all the best maana si kuna ile special thread yake si habari zote mueke huko jamani