Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Yani nina mzuka kama nimepata mgao wa escrowwww.....Dai tupoze weeeee ndo tushaibiwa hivooooo......

Michirizi ndo Wema....ukibisha kamuangalie vizuriiii....
hhahahaha My ndugu ya tatu hiyo,hongera sana shemeji yangu
 
Heheeee basi tumpandishie kiwango cha wafuta vumbi wenzie nanii naniiiiiii naniiii Mirror au naniii maliziaa........
Tena wamkome kumlinganisha na Dai pumbavu zaoooo

Nimesoma coment zako mtaa wa tatu nimecheka sana,Wenye Mjii kimya kama hawapo vile hahahahah
 
Back
Top Bottom