Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Tuzo kubwa sana aise
Heheeeeeee wasafiiiiiiiiiiiiiiii babyyyyy wapi wafuta vumbiiiiii kimyaaaaaaaaaaaaaa kama wananyolewaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuzo kubwa sana aise
Heheeee basi tumpandishie kiwango cha wafuta vumbi wenzie nanii naniiiiiii naniiii Mirror au naniii maliziaa........
Tena wamkome kumlinganisha na Dai pumbavu zaoooo
hhahahaha My ndugu ya tatu hiyo,hongera sana shemeji yanguYani nina mzuka kama nimepata mgao wa escrowwww.....Dai tupoze weeeee ndo tushaibiwa hivooooo......
Michirizi ndo Wema....ukibisha kamuangalie vizuriiii....
Heheeee basi tumpandishie kiwango cha wafuta vumbi wenzie nanii naniiiiiii naniiii Mirror au naniii maliziaa........
Tena wamkome kumlinganisha na Dai pumbavu zaoooo
pumbavu zao kubwaaaa
hhahahaha My ndugu ya tatu hiyo,hongera sana shemeji yangu
hhahahaha My ndugu ya tatu hiyo,hongera sana shemeji yangu
Nimesoma coment zako mtaa wa tatu nimecheka sana,Wenye Mjii kimya kama hawapo vile hahahahah
hahaha Diamond kabeba mbili hongera zake!
hahaaaaah tena boga neneeeee
Nimesoma coment zako mtaa wa tatu nimecheka sana,Wenye Mjii kimya kama hawapo vile hahahahah
Zari ana zari
Ya tatu hiyoooo. Most gifted new comer
taratibu jamani