Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Niniii??
si kiranga bwana kapasua yai sasa halikupasuka vizuri nikamwambia aache kutuzingua naona hanielewi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niniii??
si kiranga bwana kapasua yai sasa halikupasuka vizuri nikamwambia aache kutuzingua naona hanielewi.
Ghafla nimekumbuka kile kipindi cha zecomedi cha ' aliyeee fuliaaa'
Km huwa anapita humu asome hio ushauri wa Watu8
Hahaaaa
Maana ustaa kesha pata, mambo yake yana myookea, bado analilia nyota
Jamaaa sio writer mzuri, ana uandish wa secondary...kuna watu wakiandika unakubali. Sio vina vya kufosi
mbona Mwana Fa kila nyimbo anataja "kicheche"
Sijazungumzia tuzoo jielewe, by da way waliompa tuzo unahisi wanaelewa anacho kiimba Dai
hapana,wao wanaelewa anachokiimba ali k na juma mpogo
Toa mfano wa mistari yake kisha uyachambue kuonesha huo ubovu unaosema manake isije ikawa ni wewe binafsi ndio unaona haandiki vizuri lakini unavyowakilisha mada ni as if wote wanamuona sio mwandishi mzuri... narudia, toa mfano halafu ushushiwe nondo hapa!Jamaaa sio writer mzuri, ana uandish wa secondary...kuna watu wakiandika unakubali. Sio vina vya kufosi
Watu kama wewe wanaitwa The Walking Disaster! Awali ulisema Diamond sio writer mzuri, kisha unasema hana ubunifu, almost kila nyimbo lazima ataje jua! Kwahiyo inaelekea ni mfuatiliaji mzuri sana wa nyimbo za Diamond na bado unasema Diamond sio mbunifu!!! Una matatizo aisee....Hana ubunifu kwenye uandishi. Almost
Kila nyimbo lazima alitaje jua
na ndio maana wakampa tuzo yule wasioelewa anachoimba, na yule anachoimba kinachoeleweka akapewa kiti afute vumbi
Kiba anauwezo kuliko Nassib,tatizo la Kiba hajitumi tu.Kiba, jitume kama Nassib uone kaka!!!
Kiba anauwezo kuliko Nassib,tatizo la Kiba hajitumi tu.Kiba, jitume kama Nassib uone kaka!!!
Watu kama wewe wanaitwa The Walking Disaster! Awali ulisema Diamond sio writer mzuri, kisha unasema hana ubunifu, almost kila nyimbo lazima ataje jua! Kwahiyo inaelekea ni mfuatiliaji mzuri sana wa nyimbo za Diamond na bado unasema Diamond sio mbunifu!!! Una matatizo aisee....
Sijazungumzia tuzoo jielewe, by da way waliompa tuzo unahisi wanaelewa anacho kiimba Dai
Mie ndo kanifumbua majicho kwamba kumbe kila nyimbo lazima ataje jua!!!Haaaaa anajua kila verse za Raisi....
tatizo lako unataka kutafsiri nyimbo zake kwenye maisha yake binafsi, unajua kwanini kuna kitu kinaitwa dedication???
Mziki sio lazima uelewe kinachoimbwa! Nini maana ya Prakatatumba?