omari londo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 1,793
- 1,774
Dimond ni hatari hapa mjini
Ananuka mdomo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dimond ni hatari hapa mjini
hajajiita, he was named Chibu Dangote by his Nigerians fans/ fellow musicians as I recall it. He was and is diamond platnumz Chibu is just an alter ego
mafanikio ya mondi yanakuumza sana aiseeAnanuka mdomo
mafanikio ya mondi yanakuumza sana aisee
Mafanikio yapi??
Yani ktk jukwaa lote huku ndo kunaongoza kuwa na mandondo na mangale mondi ndo nini?????
Zombie land bhana
Weee, usitudanganye! Alianza kyjiita ivo kabla ya kwenda Naija.
mafanikio ya mondi yanakuumza sana aisee
Weee, usitudanganye! Alianza kyjiita ivo kabla ya kwenda Naija.
Mary we mdau wa mziki kitambo, diamond hajajiita Chibu Mwenyewe, fuatilia kwa wadau wenzio. Ni wanaija ndo walimuita ngoja nitafute kipindi/muda alipopewa hilo jina ili tumalize ubishi
chochote unachovuta au kunywa si halaliHatuwezi kubishania wehu sasa ukishajua utapata hela?? Au hutokufa??
hivi ukiulizwa kwanini unamchukia Mond utajibu nini....watu wengine bhana...mwacheni dogo afanye yake!!"
chochote unachovuta au kunywa si halali
Sababu ni kama zifuatazo
1) sio msanii ni mwimbaji kama wengine wanaochipukia
2) anategemea cheap popularity kwa kuonekana kwenye magazeti na vyombo vingi vya habari hasa vya wambea na wasiojielewa kwa habari zisizokuwa na mipango ni habari za kimajinuni
3) anajiita majina ambayo hayataweza kufanana nae wala hawezi kufikia hadhi ya hilo jina hata siku moja ktk maisha yake hapo zombie land
4) sioni sababu wala umuhimu Wa kushabikia huo ubwege
5) vingine vingi tu wewe inavijua kichwani mwako
Kwahiyo kalagha baho
http://3.bp.blogspot.com/-8V7N0PK6asI/VKfPPANtYMI/AAAAAAAAXG8/WjgqCaJEixE/s640/diamond900.PNGSababu ni kama zifuatazo1) sio msanii ni mwimbaji kama wengine wanaochipukia2) anategemea cheap popularity kwa kuonekana kwenye magazeti na vyombo vingi vya habari hasa vya wambea na wasiojielewa kwa habari zisizokuwa na mipango ni habari za kimajinuni3) anajiita majina ambayo hayataweza kufanana nae wala hawezi kufikia hadhi ya hilo jina hata siku moja ktk maisha yake hapo zombie land4) sioni sababu wala umuhimu Wa kushabikia huo ubwege 5) vingine vingi tu wewe inavijua kichwani mwakoKwahiyo kalagha baho
Ooh" Sasa Yote hayo ni maisha yake ambayo kachagua yeye mwenyewe kuishi...saiv wewe unang'atwa na mbu huku unakazana kumponda jf yeye katulia anakula kiyoyozi 6*6 na mtoto zari anapanga kesho atoke vipi.....
😝😝😝 tuma salamu kwa watu watatu mkuu
unalazimiiisha kutukanwa, hahahahaa...! Hutukanwi, humu kwetu tuna utaratibu mzuri wa kuishi na watu, tunakujibu kwa facts ubaki unatokwa povu mwenyeweRaha sana kukaa na kubishana na wajinga maana naenjoy sana napata picha jinsi zombie land kuvyozidi kuzorota