Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

hajajiita, he was named Chibu Dangote by his Nigerians fans/ fellow musicians as I recall it. He was and is diamond platnumz Chibu is just an alter ego

Weee, usitudanganye! Alianza kyjiita ivo kabla ya kwenda Naija.
 
Weee, usitudanganye! Alianza kyjiita ivo kabla ya kwenda Naija.

Sasa mmejionea wenyewe kuwa mnajiita majina ya watu wenye akili zao

Haya sasa huyo kawaumbua kwamba alianza kujiita kabla hajaenda kuba.hish.iwa na boko haram

Hahahahaa ms Lincoln umeona zombie land kulivyo
 
Weee, usitudanganye! Alianza kyjiita ivo kabla ya kwenda Naija.

Mary we mdau wa mziki kitambo, diamond hajajiita Chibu Mwenyewe, fuatilia kwa wadau wenzio. Ni wanaija ndo walimuita ngoja nitafute kipindi/muda alipopewa hilo jina ili tumalize ubishi
 
Mbona team KIMBA makelele mengi??
Tuangalie takwimu zinasemaje...?
Nasema na wewe 24hrs(120000 yt viewers) vs chokatua (???)
 
Mary we mdau wa mziki kitambo, diamond hajajiita Chibu Mwenyewe, fuatilia kwa wadau wenzio. Ni wanaija ndo walimuita ngoja nitafute kipindi/muda alipopewa hilo jina ili tumalize ubishi

Hatuwezi kubishania wehu sasa ukishajua utapata hela?? Au hutokufa??
 
hivi ukiulizwa kwanini unamchukia Mond utajibu nini....watu wengine bhana...mwacheni dogo afanye yake!!"
 
mtu sio ndugu yako...humjui hata jina lake la utotoni..hakujui hata kama unaexist duniani...unamchukia!! wa nini sasa unamchukia??? hali kwenu wala halali kwenu... chuki ya nini?! yaan mwingine ana chuki utafikiri ndo alikuwa Ivan kanyang'anywa Zari...kumbe msela tu isitoshe bado yupo ziro kama masela wengine...unapolala wewe Leo mwenzio kashaamka tangu 2010...doooh mond mond"... "Hivi hamjioni kuwa mna kasoro"!
 
hivi ukiulizwa kwanini unamchukia Mond utajibu nini....watu wengine bhana...mwacheni dogo afanye yake!!"

Sababu ni kama zifuatazo

1) sio msanii ni mwimbaji kama wengine wanaochipukia

2) anategemea cheap popularity kwa kuonekana kwenye magazeti na vyombo vingi vya habari hasa vya wambea na wasiojielewa kwa habari zisizokuwa na mipango ni habari za kimajinuni

3) anajiita majina ambayo hayataweza kufanana nae wala hawezi kufikia hadhi ya hilo jina hata siku moja ktk maisha yake hapo zombie land

4) sioni sababu wala umuhimu Wa kushabikia huo ubwege

5) vingine vingi tu wewe inavijua kichwani mwako

Kwahiyo kalagha baho
 
Ooh" Sasa Yote hayo ni maisha yake ambayo kachagua yeye mwenyewe kuishi...saiv wewe unang'atwa na mbu huku unakazana kumponda jf yeye katulia anakula kiyoyozi 6*6 na mtoto zari anapanga kesho atoke vipi.....
😝😝😝 tuma salamu kwa watu watatu mkuu
 
Sababu ni kama zifuatazo1) sio msanii ni mwimbaji kama wengine wanaochipukia2) anategemea cheap popularity kwa kuonekana kwenye magazeti na vyombo vingi vya habari hasa vya wambea na wasiojielewa kwa habari zisizokuwa na mipango ni habari za kimajinuni3) anajiita majina ambayo hayataweza kufanana nae wala hawezi kufikia hadhi ya hilo jina hata siku moja ktk maisha yake hapo zombie land4) sioni sababu wala umuhimu Wa kushabikia huo ubwege 5) vingine vingi tu wewe inavijua kichwani mwakoKwahiyo kalagha baho
http://3.bp.blogspot.com/-8V7N0PK6asI/VKfPPANtYMI/AAAAAAAAXG8/WjgqCaJEixE/s640/diamond900.PNG
 
Ooh" Sasa Yote hayo ni maisha yake ambayo kachagua yeye mwenyewe kuishi...saiv wewe unang'atwa na mbu huku unakazana kumponda jf yeye katulia anakula kiyoyozi 6*6 na mtoto zari anapanga kesho atoke vipi.....
😝😝😝 tuma salamu kwa watu watatu mkuu

Wewe ndo unaengatwa na mbu huko zombie land kwenu huko mata.koni kwa dunia unamsifia ba.sha wako kinuka ndomo
 
Raha sana kukaa na kubishana na wajinga maana naenjoy sana napata picha jinsi zombie land kuvyozidi kuzorota
unalazimiiisha kutukanwa, hahahahaa...! Hutukanwi, humu kwetu tuna utaratibu mzuri wa kuishi na watu, tunakujibu kwa facts ubaki unatokwa povu mwenyewe
 
Back
Top Bottom