maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,537
- 1,360
Angalia spidi ya disqualifying partition ndio utaelewa kua watu wana mengi. Ray C mwanzoni alimsifia ila Leo kaongea ukweli wa moyoni na kaweka evidence based facts!Kumbe mnasababu nyingi tu sio siasa peke yake!
Liberty!!! Eti Liberty..Chadema wao sijui Democracy na Liberty hua wanaitafsiri vipi.
Halafu wanasema wao ni chama cha Democracy🤔
Kijani unaweza kuvaa lakini kwa kuwa ilikuwa inashabihiana na mambo ya kishenzi kama kutekana,kuuwana na ujambazi basi tunaipiga vita. Ole sabaya yupo rumande mnashughulikiwa mmoja baada ya mwingine.Duh siku hizi kuvaa nguo ya kijani ni kosa
Uhuru wa democracy mnayoihubiri ndio hii?
Kumbe ni wivu tu....😂🤣
Basi tusubiri na hii abebeMTV MAMA na MTV EUROPE hizo kampeni zilikiwepo na bado MTV MAMA akachukua moja, EUROPE akabeba zote mbili, so kama ipo ipo tu.
Mi binafsi Ni fan Huyo Jamaa na respect hustle zakeHii misukule ya WCB hawawwzi kuelewa
Labda tuangalie hii BET award inataka wenye sifa gani?
Ana kidhi?
Wanaolalamika wako sahihi?
kweli na hawana agenda yoyote ya kushawishi wakipewa nchi kazi kudandia hovyo vitu visivyoeleweka..Jamaa ni wabaya,wachawi na ni wabaguzi bora CCM waendelee kubaki madarakani
Bro hata mwendazake alipenda kuona watanzia wote wawe masikini rejea alichokua anawafanya matajiri so we kaa kimya viuamane huko.......Ni ujinga wa watanzania wengi kutaka wengi wawe maskini, yaani ukifanikiwa wanataka ufeli.
Sijaona wtu wakimlazimisha ali kiba asapoti wanachotaka diamond asapoti...
Kisa wanashabikia chadema?Naam ajitokeze, mdogo mdogo akina Roma wataheshimika
Jamaa ni wabaya,wachawi na ni wabaguzi bora CCM waendelee kubaki madarakani
Kampigie kura... Unaweza msaidia.Kafanya kitu gani?
Pole sana mkuu!serk imeua watu,inateka watu,inapiga watu risasi,inatupia watu baharin kwwnye mifuko n.k halaf unasided nayo unategemea nn
Kwa hiyo kwa akili yako ndogo diamond akikosa hiyo tuzo chadema itakuwa imepata ushindi?Hatakiwi kuipata... MaCCM inabidi yajifunze hapa..
Aikose na Aikose tuu..
Ukiwa masikini sana unakuwa na chuki tu kwa watu walio nazo.Ila nyinyi matajiri ndio mnamshabikia, hongera sana tajiri!