Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Duh siku hizi kuvaa nguo ya kijani ni kosa
Uhuru wa democracy mnayoihubiri ndio hii?
Kijani unaweza kuvaa lakini kwa kuwa ilikuwa inashabihiana na mambo ya kishenzi kama kutekana,kuuwana na ujambazi basi tunaipiga vita. Ole sabaya yupo rumande mnashughulikiwa mmoja baada ya mwingine.
 
Hii misukule ya WCB hawawwzi kuelewa
Mi binafsi Ni fan Huyo Jamaa na respect hustle zake


Ila ana undezi Fulani akivaa zile sare zake za mbogamboga kwenye majukwaa Yao.

Anatusi watu wanaompeleka chooni.

Sikatai yeye kuwa mbogamboga Ila simile inahitajika Basi asitugawe mashabiki .

Avae hao mambogamboga bila kutunanga sisi independent na wale chadema.

Hata huko states wasanii wengi Ni Democrat Ila huwezi sikia wakikinanga GOP maana kuna fan wao wanaomini in conservative way.

Huyo dogo pamoja na kusafiri Ila unaonekana Hana exposure upande wa kurelate siasa na sanaaa

Shule muhimu .
 
Jamaa ni wabaya,wachawi na ni wabaguzi bora CCM waendelee kubaki madarakani
kweli na hawana agenda yoyote ya kushawishi wakipewa nchi kazi kudandia hovyo vitu visivyoeleweka..
Chadema halafu na sadala vinahusiana vipi?
Hawa watu ni wa kufumua risasi yote yapotee yamejaa ukabila
 
Ni ujinga wa watanzania wengi kutaka wengi wawe maskini, yaani ukifanikiwa wanataka ufeli.
Sijaona wtu wakimlazimisha ali kiba asapoti wanachotaka diamond asapoti...
Bro hata mwendazake alipenda kuona watanzia wote wawe masikini rejea alichokua anawafanya matajiri so we kaa kimya viuamane huko.......

Power of social media
 
CCM mnajisifu kua Chama kikubwa chenye wafuasi wengi Tz. Unganeni mataga mum support taga mwenzenu.
 
Back
Top Bottom