Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Pamoja na makosa hayo ya Diamond, bado kwenye ngeli anawaza 60% ya watanzania wote.View attachment 2155876
Msikilize mwenyewe:
View attachment 2155877
Akaulizwa: How old are you?
Diamond: 31st
[emoji41]
Na hii imepelekea mpaka watoto wadogo kijaribu mambo sababu wanajua wakikosea watakumbana na ukosoaji wa Hali ya juu ndo kwa Tanzania watu wenye uthubutu ni wachache sanaMzungu na mbongo wakiongea kiingereza huwa wanaelewana sana. Tatizo linakuja mbongo ukiongea kiingereza mbele ya mbongo mwenzako, lazima utaogopa kwasababu atachukua madhaifu tu ili akukosoe, tofauti na mzungu ambaye anaangalia main points ili muweze kuelewana. Shida nyingine ni kwamba mbongo anakusahihisha kwa lugha ileile ya kiswahili[emoji16]. Mzungu akiongea broken swahili anaonekana anajitahidi sana kuongea kiswahili na tunampongeza. Watanzania sijui nani katuroga.
Diamond ni mbwa jikeJust to be clear.
Mwanaume hawi bitch.
Lakini hiyo ishu inaonekana ni scripted sielewi kwanini wameacha hii scene ionekane
Kumbe hizi rumors Zina ukweli?Bisexual huyo. Kingereza kilikuja kwenye meli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Diamond ni mbwa jike
That what he meant
Ukiwa huna ajira huruhusiwi kujadili kituWatanzania Bwana. Nyie na Viingereza Vyenu Bado Mnatafuta Ajira Na Hamjapata Bado. Mwenyewe hapo anatengeneza Pesa na Kawazidi mafanikio
Hahahaha aisee hebu tafuteni pesa mpeleke watoto shule za maana wasiwe wajinga kama nyie au kama huyo anayejiita bitch.
Yani wewe uliyoko kwa mtogole usikie vizuri sana maneno diamond kuliko editor na director ambao wako na diamond zero distance alafu unasema wamekosea subtitles ??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiangalie kilicho andikwa sikiliza kilichotamkwa subtitle inaweza kukosewa mkuu human error tuHusomi ata subtitles
Upo sahihi, naamini hata mimi kwa kiingereza mondi atakuwa anakijua kuliko mimi, shida inakuja makosa aliyofanya.. Yeyote atakaesikia mtu anasema 31st yrs old hapo lazima astaajabu, hilo ni kosa ambalo linafanywa na wale wanaoanza kujifunza kiinglish.Pamoja na makosa hayo ya Diamond, bado kwenye ngeli anawaza 60% ya watanzania wote.
The BITCH is 31ST years old.Nimecheka jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]the what is what[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huoni kama una misuse nguvu zako kwenye mambo yasiyo na tija.Ukiwa huna ajira huruhusiwi kujadili kitu
Hapa kwenye shule nzuri singumzii kingereza nazungumzia uwezo wa kupambanua mambo.kiingereza ni lugha na sio elimu we kiazi mbatata ,,! hakuna uhusiano wowote wa kuja kiingereza na kuwa na elimu
Netflix buaaaanaAisee aibu nimeona mimi 🙈
Aisee.Bisexual huyo. Kingereza kilikuja kwenye meli.