Mahakamani hadi A.K.A inatumika mkuu🙂🙂hivi mpaka nyaraka za kiserikali wanaandikaga na a.k.a kumbe? nilijua ni polisi tu ndo hutumia wakitangazaga wahalifu
Nani kakudanganya?mmmnh sijui child support ikoje ,nachojua mimi it depends na unacho earn mzazi kwa mwezi.....sasa hio million tano kwa mtu kama Dai si sawa na hio laki mbili mnh
nimeuliza nikidhani umesoma wito wa mahakama aliyo pelekewa Diamond..
Ulishauri Diamond afute case wakati aliyefungua case ni Hamisa..
Wala usijali Diamond haito mgharimu chochote hii case zaidi ya sheria kufata mkondo tuu na hii case atashinda na hakuna million tano itakayo tolewa...
Diamond hajakataa kumtunza mwanae bali Hamisa ndio amekataa kiasi anachopewa ...
Kiasi anachotaka Hamisa hakijawai kuwepo kabisa hapa tanzania na kwa sheria zetu....
Hamisa ana poteza muda...
Nani kakudanganya?
Hii kaitoa lini postView attachment 602714haaaaa haaaaa madale guest house kaanza mapema!
Brand ya Diamond haitetereki kizembe amepitia yafuatayo na hajatetereka.mkuu nilimaanisha Dai aombe yaishe nje ya mahakama,
inaelekea ushawahi kuguswa,unatoa child support mahali.......lol
hii imeibua 'dejavu'lol........
usimpoteze mwenzio,ana brand mwenzio ya kuichunga...
Hamisa,ana nothing to loose ila Dai ataingia hasara kwa kupoteza fans ....
Nakumbuka rafiki yangu alizaaga na housegirl wa Rufiji wakamkomalia awape laki 5 wakati mshahara wake laki 7 walipoenda mahakamani waliambulia 25,000/= period.ina maana hawahesabu parent's income before deciding how much the child is entitled to?
Mwanamuziki Diamond Platnumz amepelekewa wito wa kuitwa mahakama ya watoto na mzazi mwenzake, Hamisa Mobeto kwa madai ya kushindwa kumuomba radhi na kutoa matunzo ya mtoto.
Mwanamuziki Diamond Platnumz amepelekewa wito wa kuitwa Mahakama ya Watoto na mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto kwa madai ya kushindwa kumuomba radhi na kutoa matunzo ya mtoto.
Wito huo wa Diamond umewasilishwa na mawakili wa Mabetto, Abdullah Zulu na Walter Godluck kutoka Kampuni ya Uwakili ya Century Attorneys.
Katika wito huo Diamond Platnumz anadaiwa kumdhalilisha na kutompa matumizi ya mtoto kwa takribani miezi miwili.
Wakili Zulu akizungumza na Gazeti la Mwananchi leo Alhamisi amesema mteja wao Hamisa Mobetto alimtumia Diamond notisi ya kumuomba radhi na kumtaka apeleke matunzo ya mtoto ndani ya siku saba.
“Baada ya kuona kimya tulipeleka kesi katika Mahakama ya Kisutu upande wa watoto (The Juvenile Court Of Dar es Salaam) na leo(Alhamisi) tumepewa barua ya wito na tayari mwanasheria wa mwanamuziki huyo ameipokea,” amesema.
Zulu amesema kesi hiyo itaanza kusikilizwa Oktoba 30, mwaka huu.
Mahakamani hadi aka inatumika mkuu
Brand ya Diamond haitetereki kizembe amepitia yafuatayo na hajatetereka.
1. Mganga wa kienyeji kudai atampukutisha.
2. Baba yake kudai Domo hamtunzi+Dogo wake kumponda kwenye media+nyimbo za kumkashifu.
3. Klauz kubania nyimbo zake zisipigwe.
4. Video za uchi za mzazi mwenzie Zarrina.
5. Madai kuwa watoto wale ni wa Ivan na so wake.
6. Picha za utupu na "Kibiriti Ngoma-Salome "
**Yatapita haya Domo. Ndo uanaume huo.
Maadam alitamka hadharani kuwa mtoto ni wake amemaliza kesi na mashabiki/kulinda brand yake. Ila funzo ni kuwa Domo atafute mke mdogo mdogo (in her early 20''s, preferably Mswahili Mswahili mwenzie) AOE. Mambo ya kuhangaika BEDFORD mwishoe litazimikia njiani upate kesi na uishie jelammmmnh kwa vile kapitia hayo,then haya mengine yatapita tu bila kumuathiri???TIME WILL TELL.
Maadam alitamka hadharani kuwa mtoto ni wake amemaliza kesi na mashabiki/kulinda brand yake. Ila funzo ni kuwa Domo atafute mke mdogo mdogo (in her early 20''s, preferably Mswahili Mswahili mwenzie) aoe. Mambo ya kuhangaika BEDFORD mwishoe litazimikia njiani upate kesi na uishie jela
1. Kufilisika kwa Domo ni habari mbaya kwa ukoo mzima na Shemeji yake mzee wa rasta aka muuza ngada Le Petito Woman (msingi kiuno).haitoshi mkuu,kukubali ni mtoto wako,na kumtunza ni vitu viwili tofauti......................
ill ilo la mke mdogo, unampoteza,
sipendi kusema hivi ila inanibidi,
huyu alioa na kuchukua majukumu akiwa mdogo,
wanaume wanaoa wakiwa 30's
mtu akikuoa below that jua atacheat tu,
wachache sana huwa tayari kusettle down kwa umri huo,
Je mahakama ya wakubwa ipo wapi.Mahakama ya watoto ndio iko wapi?
[1. Kufilisika kwa Domo ni habari mbaya kwa ukoo mzima na Shemeji yake mzee wa rasta aka muuza ngada Le Petito Woman (msingi kiuno).
2. Dogo ana taste za ajabu (wanawake wazee kukaribiana na Bi Mkubwa).
2. Ukichanganya na Elimu hana in few years to come usishangae kumkuta anaendesha UBER.
*** Atafutwe mganga wa kienyeji kuchezesha hii kesi
Nimetoka makusudi ili kufurahisha baraza. Kwenye mada sasa. Mpaka muda huu Domo ni mshinDi. Child support haitazidi laki 1/mwezi (hata ile RAV4 ni hisani tu anaweza kumnyang'anya) abaki na lile GURUWE lake. *****, umepewa lift unataka kupiga na honI[
mkuu unatoka nje ya mstari,lol