Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Atoe hela ya kutunza mtoto, karma is a bitch, alimsema sana baba ake kuwa hakumtunza na ndio maana na yeye hataki hata kumtibu baba ake anapoumwa, sasa na yeye anataka apite mulemule?! Atoe maana huenda na baba ake hakutoa kulingana na madai ya mama ake kutaka kiasi amabacho mzee hakuweza kukimudu, aache hii laana maana na yeye kazaa wa kiume vile vile akate huu mnyoror wa kuleta chuki baiana ya baba na mwana, atoe hiyo hela kama Hamisa hata ichukua ni shauri yake, aende kuona mtoto na kutoa pesa maana mtoto anamuhitaji baba pia.
 
mmmnh sijui child support ikoje ,nachojua mimi it depends na unacho earn mzazi kwa mwezi.....sasa hio million tano kwa mtu kama Dai si sawa na hio laki mbili mnh
Nani kakudanganya?
 
nimeuliza nikidhani umesoma wito wa mahakama aliyo pelekewa Diamond..
Ulishauri Diamond afute case wakati aliyefungua case ni Hamisa..
Wala usijali Diamond haito mgharimu chochote hii case zaidi ya sheria kufata mkondo tuu na hii case atashinda na hakuna million tano itakayo tolewa...
Diamond hajakataa kumtunza mwanae bali Hamisa ndio amekataa kiasi anachopewa ...
Kiasi anachotaka Hamisa hakijawai kuwepo kabisa hapa tanzania na kwa sheria zetu....
Hamisa ana poteza muda...

mkuu nilimaanisha Dai aombe yaishe nje ya mahakama,

inaelekea ushawahi kuguswa,unatoa child support mahali.......lol

hii imeibua 'dejavu'lol........

usimpoteze mwenzio,ana brand mwenzio ya kuichunga...

Hamisa,ana nothing to loose ila Dai ataingia hasara kwa kupoteza fans ....
 
Brand ya Diamond haitetereki kizembe amepitia yafuatayo na hajatetereka.
1. Mganga wa kienyeji kudai atampukutisha.
2. Baba yake kudai Domo hamtunzi+Dogo wake kumponda kwenye media+nyimbo za kumkashifu.
3. Klauz kubania nyimbo zake zisipigwe.
4. Video za uchi za mzazi mwenzie Zarrina.
5. Madai kuwa watoto wale ni wa Ivan na so wake.
6. Picha za utupu na "Kibiriti Ngoma-Salome "
**Yatapita haya Domo. Ndo uanaume huo.
 
ina maana hawahesabu parent's income before deciding how much the child is entitled to?
Nakumbuka rafiki yangu alizaaga na housegirl wa Rufiji wakamkomalia awape laki 5 wakati mshahara wake laki 7 walipoenda mahakamani waliambulia 25,000/= period.
 
Mwanamuziki Diamond Platnumz amepelekewa wito wa kuitwa mahakama ya watoto na mzazi mwenzake, Hamisa Mobeto kwa madai ya kushindwa kumuomba radhi na kutoa matunzo ya mtoto.

Mwanamuziki Diamond Platnumz amepelekewa wito wa kuitwa Mahakama ya Watoto na mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto kwa madai ya kushindwa kumuomba radhi na kutoa matunzo ya mtoto.

Wito huo wa Diamond umewasilishwa na mawakili wa Mabetto, Abdullah Zulu na Walter Godluck kutoka Kampuni ya Uwakili ya Century Attorneys.

Katika wito huo Diamond Platnumz anadaiwa kumdhalilisha na kutompa matumizi ya mtoto kwa takribani miezi miwili.

Wakili Zulu akizungumza na Gazeti la Mwananchi leo Alhamisi amesema mteja wao Hamisa Mobetto alimtumia Diamond notisi ya kumuomba radhi na kumtaka apeleke matunzo ya mtoto ndani ya siku saba.

“Baada ya kuona kimya tulipeleka kesi katika Mahakama ya Kisutu upande wa watoto (The Juvenile Court Of Dar es Salaam) na leo(Alhamisi) tumepewa barua ya wito na tayari mwanasheria wa mwanamuziki huyo ameipokea,” amesema.

Zulu amesema kesi hiyo itaanza kusikilizwa Oktoba 30, mwaka huu.

Na nyie Wanaume wenye ' Mihela ' yenu sometimes basi muwe mnaangalia na Mademu wa ' Kuwabandua ' kwani kuna wengine huwa siyo Mademu kweli bali ni ' Majini ' yaliyopo duniani kuwapa wapi ' nuksi ' na wakaanza kupukutika na kufilisika. Mimi ningekuwa na Hela / Mtonyo kama wa ' Ndomo Dimonde ' wala nisingehangaika na hawa vinuka mkojo na papa ( Mbunye ) badala yake ningekuwa nawapa Mkuyenge wangu Mademu wa hadhi yangu halafu siyo wa Kitanzania.
 
Brand ya Diamond haitetereki kizembe amepitia yafuatayo na hajatetereka.
1. Mganga wa kienyeji kudai atampukutisha.
2. Baba yake kudai Domo hamtunzi+Dogo wake kumponda kwenye media+nyimbo za kumkashifu.
3. Klauz kubania nyimbo zake zisipigwe.
4. Video za uchi za mzazi mwenzie Zarrina.
5. Madai kuwa watoto wale ni wa Ivan na so wake.
6. Picha za utupu na "Kibiriti Ngoma-Salome "
**Yatapita haya Domo. Ndo uanaume huo.

mmmmnh kwa vile kapitia hayo,then haya mengine yatapita tu bila kumuathiri???TIME WILL TELL.
 
mmmmnh kwa vile kapitia hayo,then haya mengine yatapita tu bila kumuathiri???TIME WILL TELL.
Maadam alitamka hadharani kuwa mtoto ni wake amemaliza kesi na mashabiki/kulinda brand yake. Ila funzo ni kuwa Domo atafute mke mdogo mdogo (in her early 20''s, preferably Mswahili Mswahili mwenzie) AOE. Mambo ya kuhangaika BEDFORD mwishoe litazimikia njiani upate kesi na uishie jela
 
Maadam alitamka hadharani kuwa mtoto ni wake amemaliza kesi na mashabiki/kulinda brand yake. Ila funzo ni kuwa Domo atafute mke mdogo mdogo (in her early 20''s, preferably Mswahili Mswahili mwenzie) aoe. Mambo ya kuhangaika BEDFORD mwishoe litazimikia njiani upate kesi na uishie jela

haitoshi mkuu,kukubali ni mtoto wako,na kumtunza ni vitu viwili tofauti......................

ill ilo la mke mdogo, unampoteza,

sipendi kusema hivi ila inanibidi,

huyu alioa na kuchukua majukumu akiwa mdogo,

wanaume wanaoa wakiwa 30's

mtu akikuoa below that jua atacheat tu,

wachache sana huwa tayari kusettle down kwa umri huo,
 
Huyu Naseeb kabla hajasimamisha alitakiwa kushauriana na kichwa cha juu kwanza!

Huyu binti ni gold digger tangia mwanzo kama Naseeb angebaini hili kabla angejiepusha na yanayomsibu sasa yanayowezapelekea kupoteza umaarufu wake au hata kufirisika.
 
Hii taarifa imekamilika au ni nusu nusu? Tunaambiwa kuwa Diamond ameshindwa kumuomba radhi, wakati huo huo tunaambiwa kuwa Hamisa Mobetto alimtumia Diamond notisi ya kumuomba radhi. Ni kwa nini waombeane radhi? cha mno ni nini? Na toka lini kushindwa kumuomba mtu radhi kunapelekea kufikishwa mahakamani?
 
haitoshi mkuu,kukubali ni mtoto wako,na kumtunza ni vitu viwili tofauti......................

ill ilo la mke mdogo, unampoteza,

sipendi kusema hivi ila inanibidi,

huyu alioa na kuchukua majukumu akiwa mdogo,

wanaume wanaoa wakiwa 30's

mtu akikuoa below that jua atacheat tu,

wachache sana huwa tayari kusettle down kwa umri huo,
1. Kufilisika kwa Domo ni habari mbaya kwa ukoo mzima na Shemeji yake mzee wa rasta aka muuza ngada Le Petito Woman (msingi kiuno).
2. Dogo ana taste za ajabu (wanawake wazee kukaribiana na Bi Mkubwa) -sijui anapenda ule utoko.
2. Ukichanganya na Elimu hana in few years to come usishangae kumkuta anaendesha UBER.
*** Atafutwe mganga wa kienyeji kuchezesha hii kesi
 
1. Kufilisika kwa Domo ni habari mbaya kwa ukoo mzima na Shemeji yake mzee wa rasta aka muuza ngada Le Petito Woman (msingi kiuno).
2. Dogo ana taste za ajabu (wanawake wazee kukaribiana na Bi Mkubwa).
2. Ukichanganya na Elimu hana in few years to come usishangae kumkuta anaendesha UBER.
*** Atafutwe mganga wa kienyeji kuchezesha hii kesi
[

mkuu unatoka nje ya mstari,lol
 
[

mkuu unatoka nje ya mstari,lol
Nimetoka makusudi ili kufurahisha baraza. Kwenye mada sasa. Mpaka muda huu Domo ni mshinDi. Child support haitazidi laki 1/mwezi (hata ile RAV4 ni hisani tu anaweza kumnyang'anya) abaki na lile GURUWE lake. *****, umepewa lift unataka kupiga na honI
**ikishindikana mahakamani twende kwenye tunguli ageuzwe chizi tu, unyambi unyambilisi tu.
 
Back
Top Bottom