Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Diamond hiyo ni laana ya Ivan. Ukahaba wako ulichangia kumuua Ivan. Sijui kama utavuka.
 
kuna wale wenye mtego wa nipe nitailea ukikubali imekula kwako
 
Naona watu mpo kwenye vita vya msituni tena kwa mambo ya familia ya mtu wingine asiewahusu kabisa,hongereni.
 
Shehe kipozeo ingilia hili suala tuokoe dini isichafuliwe. Hawa wote wanahitaji darsa.
 
Teh teh!!!

Ila kijamaa kitaamriwa kilipe kile kima cha serikali kwa matunzo ya mtoto ambacho by the way ni kiasi kiduchu...

la hasha hako kasichana ka dayadomo kanataka tu ulimwengu ujue kuwa kama domo akikubali kulipa matunzo basi kakubali mtoto
 
Ndo pale huku Wakili wa Hamisa kule Wakili wa Chibu

-Wakili wa Hamisa: Mheshimiwa Hakimu, tunamtaka mlalamikiwa amlipe mteja wangu shilingi milioni 5 kwa mwezi kama gharama za matunzo ya mtoto!
Mheshimiwa Hakimu: Wakili wa Mshitakiwa, una lolote la kuumuliza Wakili upande wa mashitaka?
-Wakili wa Chibu: Ndiyo Mheshimiwa Hakimu! Wakili Msomi mwenzangu, una familia?
-Wakili wa Hamisa: Ndiyo ninayo na naipenda sana na kuihudumia
-Wakili wa Chibu: Very good! Mbali na familia yako; je huwa unawasaidia watu wengine hususani wazazi wako?
-Wakili wa Hamisa: Ndyo?
-Wakili wa Chibu: Huku ukifahamu kwamba Mtanzania ana wajibu wa kulipa kodi ya mapato kwa kile anachoingiza; je unaweza kuiambia mahakama hii kipato chako kwa mwezi ni kiasi gani?
-Wakili wa Hamisa: Hilo halihusiani na kesi iliyopo mbele yetu Mheshimiwa Hakimu
-Mheshimiwa Hakimu (Mama wa Kihaya ambae kwa mbaaaaali anaikumbuka chambua kama karanga): Jibu hilo swali!
-Wakili wa Hamisa: Anh, mnh... unajua
-Mheshimiwa Hakimu: Nasema jibu hilo swali:
-Wakili wa Hamisa: Kipato changu kwa mwezi ni shilingi milioni 3!
-Wakili wa Chibu: Familia yako ni ya watu wangapi
-Wakili wa Hamisa:Nipo mimi, mke wangu, watoto wawili pamoja na mfanyakazi wa ndani!
-Oh! Kumbe una mke! Je, na yeye kipato chake kwa mwezi shilingi ngapi?
-Wakili wa Hamisa: Kipato chake ni shilingi milioni moja unusu!
-Wakili wa Chibu: Wow! Kumbe shilingi milioni nne unusu tu inatosha kuhudumia familia ya watu watano pamoja na ndugu wengine lakini mnataka kulipwa shilingi milioni 5 kwa mtoto mchanga mmoja! Je, nikisema mnataka kumgeuza mteja wangu mradi wa mteja wako kuvuna bila jasho nitakuwa nimekosea?
-Wakili wa Hamisa: Ndio utakuwa umekosea!
-Wakili wa Chibu: Toa mchangunuo wa hiyo milioni tano!
-Wakili wa Hamisa: Mtoto atakuwa anakunywa maziwa mara tano kwa siku na maziwa yatakuwa yanaandaliwa Kempinski hotel amba....
Mheshimiwa Hakimu: ....Unasemaje wewe?!
 
Teh teh!!!

Ila kijamaa kitaamriwa kilipe kile kima cha serikali kwa matunzo ya mtoto ambacho by the way ni kiasi kiduchu...

la hasha hako kasichana ka dayadomo kanataka tu ulimwengu ujue kuwa kama domo akikubali kulipa matunzo basi kakubali mtoto
Demu mjinga tu, mbona Mond keshakubali tangu zamani! Na wala hakuwahi kukataa! Na alizokuwa anapewa zamani ni nyingi maradufu kulinganisha na zile atakazopata kwa mujibu wa mahakama!
 
Inaitwa tukose wote approach...makampuni anayofanya nayo kazi yatajitoa fasta
 
Ulipwe kwa kumlea mwanao????? Acha kujitia aibu mbele ya jamii....no wounder wanawake kujisifia ushujaa wa kubeba mimba 9months wakati vidume tunabeba kende zetu all.our lives and no complains.
 
Nilishasema hizi papuchi usipoangalia zinakumaliza muulizeni Mike Tyson
 
Mie huyu binti namuita muuza bucha....acha atoe huduma ya nyama. Naskia kasoma LLB UDSM.....kweli eliku yetunineshuka sanaa na ifike mahali tukubali tanzania imejaa vilaza
 
Hiyo case itapigwa PO mapema kabisa, Juvenile Court na madai kati ya watu wazima wapi na wapi?!!!
 
Wakati mnapobeba mimba hua hamsemi mtahitaji kulipwa, uzae useme unataka kulipwa? Kwani kua na mtoto ni ulemavu? Au kua na mtoto ni ajira? Kwa hiyo alipwe 30,000 kama beki tatu ? Maana ndo mshahara wa beki tatu mlea mtoto.

useme ili iweje,

yes alipwe,

kama sio mtoto,mtu unafanya shughuli zako nyingine za kujiletea maendeleo,

kukaa na mtoto ni physically demanding work

katafute definition ya neno work lol

mnachekesha kweli,kutafuta mtoto tutafute wote,kwenye kulea ni mzigo wangu,sio wetu mmmmnh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…