Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Alishawahi kufanya kazi au ndio kusema anataka apate pesa ya kula yeye,mama yke plus watoto wke,laki 2 ndio halali yke kabisa,wadada wa mjini hawataki kufanya kazi wao msingi kiuno....ashukuru hata hiyo gari aliyopewa mana angeendelea kupanda bajaji tu.kizazi cha wahongaji kimepungua sana watu wana nidhamu na pesa zao

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Ulipwe kwa kumlea mwanao????? Acha kujitia aibu mbele ya jamii....no wounder wanawake kujisifia ushujaa wa kubeba mimba 9months wakati vidume tunabeba kende zetu all.our lives and no complains.

NDIO mfano wako wa kende hauna tija,

miezi tisa ni sawa na kubeba hivyo vikende???wewe una utani..................

yes WAMAMA WOTE WALIOKO NYUMBANI WAKILEA IWEKWE SHERIA YA KUPATA PORTION YA MISHAHARA YA WAUME ZAO
 

kwani akila yeye ina ubaya gani
 
Mie huyu binti namuita muuza bucha....acha atoe huduma ya nyama. Naskia kasoma LLB UDSM.....kweli eliku yetunineshuka sanaa na ifike mahali tukubali tanzania imejaa vilaza
Kaka acha matani kwa Hamisa! Huyu binti mi namfahamu tangu akiwa mdogo kwahiyo siwezi kuvumilia kuona unamfanyia masihara mdogo wangu!!!

Yaani huyu Hamisa Hassani Mobetto aliyemaliza O-Level Tandika Secondary School ndie mwenye LLB?!

Unajua Hamisa mtoto wa Uswahilini ingawaje kuna wengine wanadhani ni mtoto wa kishua!! Sasa kwavile ni mtoto wa Uswahilini, tangu hapo ni mjanja mjanja fulani!! Na katika ujanja ujanja huo kuna mwaka alishiriki mashindano ya Miss University East Africa wakati kaishia Form IV!! Sasa ile kushiriki Miss University, watu ndo wakadhani Hamisa yupo kwa versity!!

Angekuwa na LLB asingefanya huu ujinga manake angefahamu angezila zaidi za Diamond bila kupiga mayowe kuliko kwa hivi anavyofanya!!!!
 
Sheria ziko wazi ustawi wa jamii ni buku 70 kwa mwezi matunzo,kwahiyo akichukua na 70 ya majizoo inakua 140,000 kwa mwezi...akiona maisha magumu akabidhi mtoto

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app

sheria kandamizi,i hope ili litafungua mjadala wa ku review hio sheria ,waweke percentage Fulani ya anacho earn mzazi,kuweka 70,000 kwa kila mtu is unrealistic,kuna mwingine atastruggle kuipata hio 70,000 ,wakati wanaojiweza hio 70,000 ni hela ya kununua ice cream.
 
NDIO mfano wako wa kende hauna tija,

miezi tisa ni sawa na kubeba hivyo vikende???wewe una utani..................

yes WAMAMA WOTE WALIOKO NYUMBANI WAKILEA IWEKWE SHERIA YA KUPATA PORTION YA MISHAHARA YA WAUME ZAO
Hivi kwanini unadhani mwenye wajibu wa gharama za matunzo kwa mtoto ni baba peke yake na mama hatakiwi kugharamia matunzo ya mtoto?!

Akitaka kudekezwa kama mwanamke, basi aende BAKWATA lakini ahakikishe ana cheti cha ndoa kwanza!!! Kwa mujibu wa Uislamu, huko ndiko mwanamke anatakiwa kunyoosha miguu tu na kila kitu analetewa na mwanaume!!
 
Sahihisha hilo neno Mkuu, "walipaswa kuanikwa sokoni wakatandikwa bakora zao 100" kwa makosa ya uzinzi na kama mmoja wapo ni mwanandoa alipaswa kuanikwa sokoni akachimbiwa shimo na kurujumiwa.
 
Sahihisha hilo neno Mkuu, "walipaswa kuanikwa sokoni wakatandikwa bakora zao 100" kwa makosa ya uzinzi na kama mmoja wapo ni mwanandoa alipaswa kuanikwa sokoni akachimbiwa shimo na kurujumiwa.
Na ndio maana nimesema kabla hajaenda huko BAKWATA ahakikishe ana cheti cha ndoa kwanza!!!!
 

wewe nae,

baba anafanya kazi full time,

mama analea full time,

nani anapaswa kutoa hela hapo?

ofcourse ikiwa vice versa,mama atalipa then baba atalea,

wenzetu baba kulea sio jambo la kutisha,Mwambie DAI wako amchukue mwanae akalee,Hamisa aende kutafuta chapaa zake...............
 
Aende bungeni kulalamika,huyu dada anafanya kazi gani haswa au ndio kutegemea kudanga ndio aishi....narudia kizazi cha wahongaji kwasasa kimepungua ajipange tu kivingine papa siku hizi sio bidhaa ya kugombaniwa kma enzi za jk

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
NDIO mfano wako wa kende hauna tija,

miezi tisa ni sawa na kubeba hivyo vikende???wewe una utani..................

yes WAMAMA WOTE WALIOKO NYUMBANI WAKILEA IWEKWE SHERIA YA KUPATA PORTION YA MISHAHARA YA WAUME ZAO
Crap...!
 
Emoj aliotumia inanipa hof kidogo kwa mwanaume kuitumia
 
Kwa hiyo.....hayo tunayosimuliwa kuwa,mara anapewa 70,000/= kila siku,mara kapewa bonge la mjengo,yote ni blaah blaah tu!?
Blah blah kivipi? Hamisa mwenyewe huyu hapa:



Hapo alikuwa anamjibu Idris Sultan manake Diamond tangia hapo ameshapiga kimya!

Kwanza Diamond hakuwahi kumkataa Hamisa kama ambavyo Hamisa alitaka watu waamini. Diamond alikubali from the beginning lakini akamwambia kwavile ana familia na hayupo tayari kugombana na Zari, basi hilo suala kwa wakati huo liwe siri kwa public!!!

Na ni katika huo muda ndipo Mond alikuwa anatoa hizo 70K daily na zingine zilikuwa hazipo kwenye hesabu!! Pamoja na hayo, akamnunulia na gari juu!!!

Hamisa akakutana na wajinga wenzake, and possibly wakamwambia usikubali kufanya siri! Ndo hapo akaanza kuvujisha picha akiwa na lengo la kumuumiza Zari!!

Mond baada ya kuona Hamisa amevunja makubaliano ambayo yalikuwa ya kiushikaji zaidi ndipo nae akaamua kuvunja ushikaji akamwachia mwanasheria wake a-handle issue mzima!!!
 

papa bado inadai hio,

ana wawili kuna wengine wana watano,lol

kizazi cha wahongaji kingekua kimepungua,DAI asingepatikana kwenye hii aibu,

tutaskia mengi
 
papa bado inadai hio,

ana wawili kuna wengine wana watano,lol

kizazi cha wahongaji kingekua kimepungua,DAI asingepatikana kwenye hii aibu,

tutaskia mengi
Dai alipewa akijua atajengewa nyumba au kufaidi kma zari,mbna wengi wametafuna hawakupewa mtoto....istoshe majizo atakua amekata huduma kabisa ndio mana bibie anaweseka

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…