Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

Swali ni: Kwanini unadhani ni baba ndie mwenye wajibu wa kutoa gharama za mtoto na sio mama?!

Na huyo mama anayelea mtoto full time ni mama wa aina gani?! Kama ni mwajiriwa, ina maana wakati wa kulea huwa haendi kazini? Kama ni mfanyabiashara ina maana wakati wa kule huwa anafunga biashara? Kama ni mkulima ina maana wakati wa kule shamba na yeye inakuwa ndo basi tena?
 
Dai alipewa akijua atajengewa nyumba au kufaidi kma zari,mbna wengi wametafuna hawakupewa mtoto....istoshe majizo atakua amekata huduma kabisa ndio mana bibie anaweseka

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app

planed or unplanned,mtoto ndio huyooooo kashatinga,hizi stori unazoziandika kwani DAI hazijui???anazijua saana na bado hakuvaa CONDOM
 
Tena mi nasema hivi; Chibu anajua ku-care na Hamisa ni mtu wake wa karibu toka kitambo! Endapo Hamisa asingefanya huu ujinga am certain Diamond angemjengea tu au hata kumnunulia!!! Lakini kwa sasa ndo keshalikoroga na anaendelea kulikoroga!!
 
planed or unplanned,mtoto ndio huyooooo kashatinga,hizi stori unazoziandika kwani DAI hazijui???anazijua saana na bado hakuvaa CONDOM
Anaetakiwa kusistiza domu ni mwanamke au mwanaume,mtoto kazaliwa tayari ni baraka hiyo ila 70000 ndio mpango mzima labda chibu amuonee huruma

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
planed or unplanned,mtoto ndio huyooooo kashatinga,hizi stori unazoziandika kwani DAI hazijui???anazijua saana na bado hakuvaa CONDOM
You're right Tina, mtoto ndio huyoooo kashatinga!!! Na laki mbili mbili ndio hizooooo Hamisa atakuwa anazikinga!!!

Waswahili hawakukosea waliposema "Ujanja mwingi huondoa maarifa!"
 
Tena mi nasema hivi; Chibu anajua ku-care na Hamisa ni mtu wake wa karibu toka kitambo! Endapo Hamisa asingefanya huu ujinga am certain Diamond angemjengea tu au hata kumnunulia!!! Lakini kwa sasa ndo keshalikoroga na anaendelea kulikoroga!!
Huyo dada ni kunguru hafugiki hata kulea muda hana ni club n kudanga tu

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
wewe nimekwambia kama mama ndio bread winner,then yeye ndio atatoa pesa baba atakaa akilea(jambo ambalo kwetu ni ishu)

mama anayelea full time humjui???,una kichanga chako hapo,utaenda kazini ama kulima kweli???naona labda huna experience ya kulea..............

na hata ukisema umuweke beki tatu,utamlipa na hizo 70,000???zitatosha????
 
You're right Tina, mtoto ndio huyoooo kashatinga!!! Na laki mbili mbili ndio hizooooo Hamisa atakuwa anazikinga!!!

Waswahili hawakukosea waliposema "Ujanja mwingi huondoa maarifa!"

nasubili hilo saga litakavyoenda,time will tell,i hope my girl HAMISA,will fight to the end.
 
Hamisa wala hana haja ya kutoa manake Mond keshasema atatoa laki 2 kila mwezi!!!

Oh! Kumbe mama wa full time ni yule anayelea kichanga?! Kwahiyo unashauri miezi 3 ya kwanza Diamond awe analipa 5 Millioni sio kila mwezi?!!

Je, Hamisa kipato chake kwa mwezi kinafika 5M ili compensation yake iwe hicho kiasi?!

REMEMBER: Kwa Tanzania, maternity leave ni 3 months kwahiyo unachotaka wewe kama kikidhi vigezo basi kinastahili kufanywa kwa miezi 3 tu ingawaje hilo katu haliwezi kutokea manake, hata hiyo maternity leave anatakiwa kulipwa na mwajiri wake na sio aliyempa mimba!!!
 
nasubili hilo saga litakavyoenda,time will tell,i hope my girl HAMISA,will fight to the end.
Kabisa unaamini kuna hakimu atakayeidhinisha kiwango cha milioni 5 kwa mwezi?! Hivi hata wewe hapo ulipo unaweza kutoa breakdown ya malipo ya 5M kwa mwezi kwa mtoto?

Tena na hizi Bima za Afya, si ajabu mwanasheria wa Chibu anaandaa Bima ya Afya ya mtoto ili wasije wakaleta visingizio vya gharama za matibabu mtoto atakapoumwa!!!

Btw, hivi una habari sheria wala haisemi kwamba ni baba ndie mwenye wajibu wa kutoa pesa za matunzo?! Na hata kama ni baba, unadhani mahakama hazifahamu wanawake aina ya Hamisa ambao wanataka kutumia wanaume na kisingizio cha mtoto kama mtaji?!

I repeat, Hamisa angenufaika zaidi kama asingefanya huu ujinga kuliko hivi sasa!!! Huko mitaani kuna wanawake kibao tu tena wasomi na influential ambao wamezaa na committed men lakini wapo kimya huku wakiendelea kuzitafuna pesa za matunzo bila mayowe!!!!!

What Hamisa did explains her high level of stupidity na matokeo yake atakuwa in more losing side kuliko kwenye gaining side!!!
 
Gharama za uzinzi ni kubwa kuliko gharama za ndoa, ndio wanalipana sasa.
Wallah kwa watu aina ya Hamisa, nadhani gharama za ndoa zingekuwa kubwa zaidi kuliko hizi za uzinzi manake hii ni dalili ya kutotosheka!!! Ni wanawake wa aina hii akiona umeshafunga nae ndoa tu, anaanza vitimbi ili hatimae ukithubutu kumwacha basi mgawane mali!!!
 
mmmnh full time mothers,ni wale wanaoelea watoto full time,

sijui huelewi au unajifanyisha tu,

kichanga ama sio,

yule ambae ana jukumu la kulea then apewe support for his/her time and everything......

jukumu la kulea haliishii baada ya miezi mitatu,

mtoto ni mtoto mpaka afikishe 18!
 
mmmnh full time mothers,ni wale wanaoelea watoto full time,

sijui huelewi au unajifanyisha tu,
Ni we mwenyewe unaejifanya huelewi! Hivi unaamini kabisa Hamisa anaweza kuwa huyo full time mother? Au ajifanye full time mother ili awe analipwa hiyo 5 million?

kichanga ama sio,

yule ambae ana jukumu la kulea then apewe support for his/her time and everything......

jukumu la kulea haliishii baada ya miezi mitatu,

mtoto ni mtoto mpaka afikishe 18!
Kabisa! Yule mwenye jukumu la kulea then apewe support but not for his/her time bali support in favor of the kid! Haiwezekani mtoto ageuzwe mradi wa mama wakati mtoto ni wa wote!!! Hamisa hakubakwa, kwa mapenzi alichanua tena bila kinga ikimaanisha she's ready to raise a child!!!

Leo amepata mtoto ndo atake kulipwa?! Kama status yake ni surrogate mother basi auambie umma ufahamu and of course, kama ni surrogate mother basi atakuwa analipwa beyond child support cost, or else, 200K na watoto wakifika miaka 10 wanaweza kukaa kwa baba na biashara ya 200K inaishia hapo!!!
 
Kwa nini unasema Hamisa hawezi kuwa full time mother???

once ukishazaa every woman knows her responsibilities unless she is mentally ill,

yule aliezaa apewe SUPPORT,YES KWAKE NA MTOTO,

kama ni rahisi,mwambie /mmeo/mkeo leo nakaa na watoto wewe nenda kazini,

halafu tuone utafit vipi kwenye hio role

any work should have rewards,

Hamisa deserve it
 
Kumtetea mwanaume mwenzetu? I feel sorry for Hamisa kwa sababu angeweza kunufaika zaidi kama angefanya mambo kimya kimya kuliko hivi sasa!!!

Hapo juu nimeweka screenshot ya Hamisa akikiri kupewa 70K daily! Na hizo 70K ni zile ambazo zilikuwa zinatolewa regularly achilia mbali zile za hapa na pale!!

Now tell me, hivi ni mwanamke gani asiyetosheka na 70K kwa siku? Tena hapo mtoto alikuwa hajazaliwa!!!

Kwamba eti matunzo ya mtoto yawe percentage earnings ni jambo ambalo haliwezekani hata kidogo manake itaonesha wazi kwamba wanawake wanataka kuzaa watoto na wenye pesa ili kuwageuza mradi kwao!!!! Haiwezekani kama naingiza kwa mwezi 100 billion basi matunzo nilipe say, 100 Million kwa mwezi!!!!!! Huo utakuwa ni wizi uliovuka mipaka ambao haupo popote pale duniani!

Issue hapa gharama halisi za mtoto ni zipi depending on the status!!!

Kwa post yako hiyo unaonesha wewe ni KE! Haya weka hapa breakdown ya 5M achilia mbali hayo mambo ya kuangalia Chibu anaingiza ngapi!!

Tell me, atakuwa anabadilishwa pampers kila baada ya dakika moja?! Maziwa yake yatakuwa na special ingredients ambazo atatatengenezewa yeye tu toka kiwandani moja kwa moja: special order? Au maji yake ya kuoga yatakuwa yanaletwa na ndege kutoka Dubai?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…