Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

Inawezekana hakuna official announcement lakini wahusika wanajijua
 
Amen
 
hivi hii sio kiki ya kuzindua album?mbona sioni vielelzo vya kutosha kuwa amechaguliwa!!!
 
Diamond ana nyota .Wakati basata na tcra wanamfitini anaibuka kimataifa!
 
Ndo matunda ya ziara ya Boss wa FIFA hapa bongo, afu aliletewa majina mawili ya la kiba na la Diamond sasa jinsi ya kulitamka la Kiba100 ikawa ngumu mno kwa maboss wale wa FIFA na nyota ikamdondokea mjane wa Zari
 
Asije akaingia na wakawaka!!!
Tupeleke team ya mpira world cup ndiyo target. Tusiishie kupeleka wapambaji!!
 
Natoa pongezi kwa serikali na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mafanikio haya!!!![emoji12]
 
Big up Mkuu. Go go go. Ukiwa kule kwa sababu wakawaka na Hallelujah hazipigw marufuku. Warushe nazo.
 
mbona nimeona kuna mabango yanayoonesha kuwa Kiba naye ni miongoni mwa potential perfomer kwenye huo mchongo!

Tunaomba justification ya hili pia kwa wenye data za uhakika..ili tumpe pongezi za dhati nae.
 
mbona nimeona kuna mabango yanayoonesha kuwa Kiba naye ni miongoni mwa potential perfomer kwenye huo mchongo!

Tunaomba justification ya hili pia kwa wenye data za uhakika..ili tumpe pongezi za dhati nae.

Ngoja waje team kiba100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…