Diamond Platnumz adaiwa kodi Sh. Milioni 400 na TRA

Agizo la mkuu gani?,Hili sio agizo,ni hseria ambayo ipo kila siku kabla hata hAujazaliwa kwamba kila anayefanya kazi halali ni lazima alipe kodi.
 

Alipe iyo kodi

Kama hana amwambie bashite amsaidie
 
Ivi wale waliomuita na kumtolea mfano kwamba ndo mlipa kodi mzuri kati ya wanamuziki ni PSPF au TASAF
ni kweli ni mlipa kodi mzuri kuliko wasanii wote na ndio maana wanaweza hata kumpigia mahesabu ya deni kwasababu nyaraka zake ziko wazi
 
Ali Kiba anadaiwa zaidi ya hizo lakini hapendi show off za kuandikwa magazetini
anadaiwa hizo kiba anakipato gani hasa ? anabiashara gani hasa ? zaidi ya kutegemea show tu
 
Kabla ya ku commenti ungesoma kwanza komment za wenzako, unaambiwa dai amekadiliwa tu kodi, hakuna records za mapato yake anayoingiza. Sasa wewe ukisikia wasanii waandaliwe mazingira mazuri ya kazi zao unafikili nimemaanisha watafutiwe show na serikali au? Sasa kama hakuna hata mfumo ambao unaregulate hizi mambo unajuaje kuwa alipe kodi kiasi gani. Nimekwambia kuwa tunahitaji mfumo utakao mwezesha mpaka msaga sumu kilipa kodi poriodi, sasa sijui show off za instagram, kwa hiyo TRA wanaangalia insta then ndio wanaestimade kodi? Hivi nikikuuliza wewe, daimondi anslipa kodi je msaga sumu? Sasa nikikwambia mazingira wezeshi akili yako inakutuma kuwapa shows? Tatizo mnamfikilia sana diamond mdio maana kila mkicoment mala ooh! Cheni mala nyumba douth ni zake mlitaka azifiche?
 
Mkuu hivi hapo kabla ya hizi mashine za EFD ushuru ulikuwa unalipwaje? Sasa kama wenyewe wasanii hawaweki vipato vyao jinsi vinavyopatikana unafikiri TRA wafanyaje?
Unaongea usichokijua, kwanza tofautisha VAT na tunachokiongelea, hapa tunaongelea overall ya mapato yako na kiasi ambacho anatakiwa kulipa TRA. Yaani shows, digital platforms na all endorsements. Nafikili sasa utakuwa umeelewa
 
Unaongea usichokijua, kwanza tofautisha VAT na tunachokiongelea, hapa tunaongelea overall ya mapato yako na kiasi ambacho anatakiwa kulipa TRA. Yaani shows, digital platforms na all endorsements. Nafikili sasa utakuwa umeelewa
Kwa hiyo we unashauri TRA waache kuchukua tax kutoka kwa wasanii?
 
Huu mfumo wa TRA kukadilia kodi umeanza leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…