Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Agizo la mkuu gani?,Hili sio agizo,ni hseria ambayo ipo kila siku kabla hata hAujazaliwa kwamba kila anayefanya kazi halali ni lazima alipe kodi.Agizo la kila mtu alipe kodi ni la mkuu na linamuhusu kila mwananchi, kama TRA walikadiria hiyo na alipe tu kama ameona kaonewa awasiliane na TRA ili wafanye uhakiki na alipe ile inayo muhusu, mbona sie tunalipa na wala hatuna vipato vikubwa kama yeye?!
Walidhani CCM inarafiki wa kudumu.Lisu alipoongea hawakujua, yalipotokea kwa mama mkanye mwanao walicheka
Mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz ambaye juzi aliandikwa na gazeti la NIPASHE kwamba anadaiwa shilingi milioni 400 za kodi na TRA, amepost kipande cha video fupi ambacho Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ‘Profesa Jay‘ amemuongelea bungeni.
Kwenye video hiyo, Profesa Jay amesema;"Juzi Msanii Diamond alikua analalamika TRA wamempelekea kodi ya Milioni 400, unaweza kujiuliza anadaiwa milioni 400 kwa kiasi gani alichoingiza?‘
"Downloads zinazofanyika mnaweza kuona Wasanii sasa hivi wanabanwa, TRA wanatamani kuvuna kutoka kwa Wasanii kitu ambacho bado hawajakipandikiza, tumekua na ule msemo kama wa zamani kwamba shamba likiwa na bangi ni lako lakini likiwa na dhahabu ni la serikali… tunataka kuchuma kitu ambacho hatujakipanda, inabidi Serikali ianze kuwekeza na kuwajenga Wasanii kutoka shule za msingi mpaka Chuo kikuu"
Baada ya maneno hayo ya Profesa Jay kwenye video, Diamond Platnumz aliichukua video hiyo na kuandika; "Ndio Maana kwenye Jimbo lako sikuja kupiga kampeni bro…kwakuwa niliijua mapema thamani na umuhimu wa Uwepo wako kwenye hilo jengo"
ni kweli ni mlipa kodi mzuri kuliko wasanii wote na ndio maana wanaweza hata kumpigia mahesabu ya deni kwasababu nyaraka zake ziko waziIvi wale waliomuita na kumtolea mfano kwamba ndo mlipa kodi mzuri kati ya wanamuziki ni PSPF au TASAF
anadaiwa hizo kiba anakipato gani hasa ? anabiashara gani hasa ? zaidi ya kutegemea show tuAli Kiba anadaiwa zaidi ya hizo lakini hapendi show off za kuandikwa magazetini
Kabla ya ku commenti ungesoma kwanza komment za wenzako, unaambiwa dai amekadiliwa tu kodi, hakuna records za mapato yake anayoingiza. Sasa wewe ukisikia wasanii waandaliwe mazingira mazuri ya kazi zao unafikili nimemaanisha watafutiwe show na serikali au? Sasa kama hakuna hata mfumo ambao unaregulate hizi mambo unajuaje kuwa alipe kodi kiasi gani. Nimekwambia kuwa tunahitaji mfumo utakao mwezesha mpaka msaga sumu kilipa kodi poriodi, sasa sijui show off za instagram, kwa hiyo TRA wanaangalia insta then ndio wanaestimade kodi? Hivi nikikuuliza wewe, daimondi anslipa kodi je msaga sumu? Sasa nikikwambia mazingira wezeshi akili yako inakutuma kuwapa shows? Tatizo mnamfikilia sana diamond mdio maana kila mkicoment mala ooh! Cheni mala nyumba douth ni zake mlitaka azifiche?We si umezungumzia mazingira na si aina gani ya kazi, kwani wanamziki si wanafanyaga shoo na zinajulikana wanakusanya kiasi gani? Hao wanamuziki walipe kodi kama wanavyokadiliwa na TRA na kama wanaona wanaonewa waweke wazi jinsi wanavyoingiza vipato vyao ili TRA ikokotoe ushuru kulingana na vipato vyao, mbona huko kwenye instagram tunaona wakitutambishia mikufu za dhahabu zenye thamani zaidi ya mamilion au hizo mikufu ya dhahabu wanaokota? Diamond kazi yake ni muziki na hii hawezi kuepuka kuwa sio ni kazi yake na kila anayefanya kazi kwenye hii nchi lazima achangie kwenye pato la taifa
Unaongea usichokijua, kwanza tofautisha VAT na tunachokiongelea, hapa tunaongelea overall ya mapato yako na kiasi ambacho anatakiwa kulipa TRA. Yaani shows, digital platforms na all endorsements. Nafikili sasa utakuwa umeelewaMkuu hivi hapo kabla ya hizi mashine za EFD ushuru ulikuwa unalipwaje? Sasa kama wenyewe wasanii hawaweki vipato vyao jinsi vinavyopatikana unafikiri TRA wafanyaje?
Kwa hiyo we unashauri TRA waache kuchukua tax kutoka kwa wasanii?Unaongea usichokijua, kwanza tofautisha VAT na tunachokiongelea, hapa tunaongelea overall ya mapato yako na kiasi ambacho anatakiwa kulipa TRA. Yaani shows, digital platforms na all endorsements. Nafikili sasa utakuwa umeelewa
Huu mfumo wa TRA kukadilia kodi umeanza leo?Kabla ya ku commenti ungesoma kwanza komment za wenzako, unaambiwa dai amekadiliwa tu kodi, hakuna records za mapato yake anayoingiza. Sasa wewe ukisikia wasanii waandaliwe mazingira mazuri ya kazi zao unafikili nimemaanisha watafutiwe show na serikali au? Sasa kama hakuna hata mfumo ambao unaregulate hizi mambo unajuaje kuwa alipe kodi kiasi gani. Nimekwambia kuwa tunahitaji mfumo utakao mwezesha mpaka msaga sumu kilipa kodi poriodi, sasa sijui show off za instagram, kwa hiyo TRA wanaangalia insta then ndio wanaestimade kodi? Hivi nikikuuliza wewe, daimondi anslipa kodi je msaga sumu? Sasa nikikwambia mazingira wezeshi akili yako inakutuma kuwapa shows? Tatizo mnamfikilia sana diamond mdio maana kila mkicoment mala ooh! Cheni mala nyumba douth ni zake mlitaka azifiche?