Faru fausta
JF-Expert Member
- Apr 29, 2017
- 218
- 143
Akimalizana na yule atakujakwetuLisu alipoongea hawakujua, yalipotokea kwa mama mkanye mwanao walicheka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akimalizana na yule atakujakwetuLisu alipoongea hawakujua, yalipotokea kwa mama mkanye mwanao walicheka
Faida ya kuwa mkweli unajisifu Kwa kitu ambacho hakipo usijue unajitwisha mzigoSi anasema show moja yake analipwa milioni 100?, tena naona hiyo 400M anayodaiwa ni ndogo kulinganisha na income yakeyake! Alipe tuu
BASHITE amejitoaKwani mlezi wa wasafi si bashite? Sasa si yupo karibu na mkulu basi amuombe atoe maelekezo TRA wafute deni.
Amejitangaza Kama a successful musicianHizo kodi 400ml ni kwa ajiri ya muzik au biashara zote anazofanya diamond? Kama ni biashara alipe tu bila kelele asitumie mgongo wa muzik kukwepa kodi
Ccm ukiwa na Shida ndio rafikiWalidhani CCM inarafiki wa kudumu.
Ukiwa au ikiwa na shida?Ccm ukiwa na Shida ndio rafiki
KweliDawa ya kodi ni kulipa. Kama anaona si halali alalamike TRA si bungeni. Serikali inaendeshwa kwa kodi siyo kwa uji. Kama watu tusingelipa kodi huyo Prof J mshahara mnono wa ubunge angeutoa wapi
Hujui sheria ya kodi ina 'presumptive rates'??.. ambazo hutumika kwa watu wanaoingiza kipato lakini hawana rekodi za kifedha"unaambiwa dai amekadiliwa tu kodi, hakuna records za mapato yake anayoingiza." This implies kwamba Diamond kaonewa
Ndio nilichomwambia mleta mada kwenye post [HASHTAG]#104[/HASHTAG]. Diamond S.80 ya Income Tax Act haimuhusu.Hujui sheria ya kodi ina 'presumptive rates'??.. ambazo hutumika kwa watu wanaoingiza kipato lakini hawana rekodi za kifedha
Refer Income Tax Act,section nmesahau
Ila kwa kipato cha diamond aajiri mhasibu 'amtengenezee' ishu zake za kodi,sio mtu wa kukadiriwa mapato huyu he makes a loot..
TRA sio wa kuwakimbia ni wa kuwa'manage' ili usile shoti
ImeshindikanaSi yuko karibu na Prince Bashite, amwombe amfutie deni lake!
Jenga wewe mim nitapaka rangiDiamond chini ya CCM na serikali yake amejipatia mabilioni. Atashindwa nini kulipa TRA mamilioni kujenga nchi yake kizalendo? Nani ajenge nchi kama si mimi, wewe na yeye?
Kama ni za ngada hapo pagumu!Alipe kodi aache kulia lia...si anajitangaza na kujigamba kuwa anaingiza mkwanja mrefu... au ni za ngada..basi achunguzwe nae.... HAPA KAZI TUUUUUUUUUUUUUUUUU