Diamond Platnumz ajibu shutuma ya kudaiwa Wasafi ni wanyonyaji

Yote kwa yote, haijalishi kama kuna unyonyaji au la! Kweli kabisa, hakuna kote duniani kuliko na uwekezaji kibiashara bila marejesho.

Hapo kwenye mikataba mikataba, isijekuwa inakuja kwa Msuva style (lugha gongana) na upande wa pili kushindwa kuelewa takwa la kimkataba tangu awali.
 

Haters watakuja tu kuchafua hali ya hewa
 

Huo unakua ni ujinga wao.
 
hilo ndio jibu alilotakiwa kujibiwa PFUNK siku ile,sio yule chawa mzee mwenye upungufu wa nywele aliyejibu kama mtetezi wa lebel wakati ni mwajiriwa tu.

hiki alichoandika diamondplatnums ni black and white,hajamtupia mtu lawama wala kujikosha.

good.
 
Babutale, sallam na mkubwa fella usitegemee kuona wakitoa hoja Nzuri me binafsi nashangaa wamewezaje kuwa mameneja?
 
Jamaa mwizi huyu porojo nyiiingi amesahau na hela ya kuwalipa machawa
 
Hizo hizo ndio zimemfikisha hapo alipo, tatizo sio yeye ni sisi wasikilizaji
 
WCB is gang of thieves under the name of label and DIAMOND is their leader while Babu tale and Mkubwa fella are people who Masterminding how to steal from their signed musician.
Kama ni hivyo weka hoja zinazo onyesha wapi Wana Iba?ila Kwa hoja za mondi yupo sahihi ile ni biashara.
 
Mwache afunguke Ila asisahau kabla ya kujiunga Wasafi, alikuwa si kitu.
 
It seems that you're well informed with business contracts, mabeberu yanakuja na mtaji, technology yao usitegemee yatakupa mgawanyo sawa lazima yakupige ukizingua yanakuacha na madhahabu yako yakuozee
 
Wanasahau muwekezaji kacheza kamari, inaweza tokea akaliwa. Je, huyo msanii anaweza kurudisha gharama ili wagawane hiyo hasara!?
 
Diamond pole sana na bahati mbaya mno huenda ulikuwa hujaijua tabia ya Mswahili Masikini ambapo ukitokea tu Umemuibua na kumfanya kuwa Mtu akishafanikiwa ataanza kushikiwa Akili na Watu ambao hata hawakuwa na nia ya Kumsaidia na Kuanza Kukutukana, Kukudhalilisha na Ku Kukuona mbaya na Adui yake.

Maelezo yako yote nimeyaelewa na nayaunga mkono tena kwa 100% na huo ndiyo Ukweli kuwa huwezi Kuokotwa ulikokuwa halafu Watu wakutengeneze kwa Gharama zao na wasirudishe Pesa yao ( Uwekezaji Wao ) Kwako ukizingatia hapo mnafanya Biashara na siyo Kanisani au Msikitini ambako ndiko kuna Hisani na Msaada kwakuwa ni sehemu Takatifu Kiimani.

Umejibu Kiuweledi na Umekomaa sasa Diamond na hii ndiyo faida ya kuwa na Management nzuri na Exposure ya nchi mbalimbali na Kukutana na Wasanii Wakubwa duniani.

Kwa sasa Diamond ni Tanzania na Tanzania ni Diamond. Ni sawa na Simba SC ni Tanzania na Tanzania ni Simba SC ukilikataa hili lazima utakuwa na tatizo la Akili ( Uwendawazimu )

Nakukubali mno Diamond piga Kazi!!!
 
Kama ingekuwa investment inafanyika kwa HURUMA basi hata Hamorapa angesainiwa wasafi...

Nani amekwambia BSS ndio kipimo cha wanamuziki wazuri?
Ndugu mdau, Harmonize kasainiwa akiwa bado takataka kabisa. Unaweza kutaja ngoma hata moja aliyekuwa nayo inayofahamika kabla hajasaini Wasafi? Ilikuwa kamari kubwa Sana , na asilimia 60/40 Ni fair mno. Investment hii kuifanya lazima uwe na Imani kweli kweli.

Tofauti na Rich Mavoko ambaye yeye tayari alishatoka na labda angehitaji nguvu ndogo kum_push zaidi. Huyu angeweza kustahili apewe hata asilimia 50 au hata 60. Kwa kuwa huyu hakuwa risk Sana kwa uwekezaji kwa kuwa mtaji wa kuwa kwenye indusrty na siasa zake alikuwa nao.
 
Umeongea point kubwa sana
 
Million 500 my foot?









Huo NI uwongo bhana huo NI uwongo






Atoe mchanganuoa million 500 ni kubwa sana
Ambacho huelewi nini.kwani huoni hiyo ni mifano katoa.Ata kama imetumika laki mbili ni pesa pia.yeye kaongea mifano tu kua kuna uwekezaji unafanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…