Nani kakomolewa?
Hivi leo Mondi hasingekuwa na label, hasinge ingiza hela? Ila ninavyo wajua wabongo wangesema "ana roho mbaya,hataki kuanzisha label anataka kuwa yy........".
Hivi brother unamchukua msanii kwanza aliambiwa mbele ya umma hajui kuimba, hana mbele wala nyuma,huoni jamaa ana moyo na huruma ya hali ya juu,ambayo watu wengi hawana (hata mimi na ww hatuna), hapo ana miaka mitatu WCB hana project yoyote,ila wana mfundisha kuimba, kuvaa, connection na wasanii wakubwa wa Africa.
Si angeamua tuu hiyo hela 500m aende
TCRA akanunue frequency aongeze mkoa mmoja wa kurusha matangazo Wasafi Media au angetafuta plot angejenga nyumba sasa hivi angekuwa anakula hela na hizi kelele anawanyonya angeziepuka,ingekuwa yy na mziki wake na projects zake.