MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Tatizo kubwa mnoo la misukule wa NDOMO Ni kukosa kumbukumbu.Huwa simpendi Diamond na vituko vyake, ila kwa hili yuko sahihi.
Wasafi ni music label, wako pale kutengeneza pesa kupitia muziki, sio kutoa msaada wa kukuza majina ya watu bure!
Kabla ya wasafi, Rayvanny alikua wapi? Harmonize alikua wapi? Vipi hapo walipofika leo, wangeweza kufika bila label ya Wasafi?
Hakuna kitu kinaitwa "Unyonyaji" kwenye dunia ya mabepari. Umepewa mkataba, ukausoma, na ukaona unafaa ukasaini. Hakuna la ziada hapo. Nitaamini Wasafi ni wanyonyaji siku akitokea mtu akatae mkataba wao mwanzoni kabisa kabla ya kupata umaarufu.
Sio mtu unatolewa manzese huko, watu wanakubrand, wanakupambania unahit mpaka nje ya nchi, alafu wakichukua return ya uwekezaji wao unasema wanyonyaji. Hakuna free lunch dadek!
Utayasikia hii ni DUNIA ya KIBEPARI, haluna msaada pale Wasafi ni biashara. WCB siyo Charity.
Ukiyaambia, yes ilikuwa ni biashara na kila mtu wanalipana pesa.
Utayasikia tena hukubyakipanua MDOMO Kama CHAI JABA. Mtu kasaidiwa halafu Hana hata shukrani kabisa. Yaani unatakiwa uadhiviwe, ushughulikiwe, utoe pesa halafu uendelee kumwabudu Kibwengo Domo.