Diamond Platnumz akiri kuwa anapenda sana nyoka

Diamond Platnumz akiri kuwa anapenda sana nyoka

Katika wanyama ninaowaona ni jau mmojawapo ni sneki ze manki shado

Nikimkuta porini namkwepa lakini akija home namtengeneza awe chakula ya siafu.

Infact last week nimeshuhudia siafu wakiua nyoka. Hawa wadudu ni vere useful ktk eneo lenye nyoka
 
Duh,pole sana.

Ningekukosa asee maana nasikia koboko ni nyoka hatari Sana na anaua watu hata sita kwq muda mfupi tu.
Kaka we acha tu aise..mngekuja kugundua nimeshazikwa tayari aise 💔💔

😁😁wewe najua ungepiga simu ukakutana na sauti mpya isiyonabashasha yenye taarifa mbaya.

Kuna watu watatu humu wangestuka baada ya kuona sipatikani whatsap.🥹
 
Kaka we acha tu aise..mngekuja kugundua nimeshazikwa tayari aise 💔💔

😁😁wewe najua ungepiga simu ukakutana na sauti mpya isiyonabashasha yenye taarifa mbaya.

Kuna watu watatu humu wangestuka baada ya kuona sipatikani whatsap.🥹
Dah.

Hii comment,umewaza mbali Sana. Inahuzunisha.
 
Kiasili hakuna binadamu anaependa nyoka.
Sio kweli,kuna watu wanapenda nyoka kama ilivyo kwa watu kupenda mbwa paka nk.
Nina bro wangu tangu tupo shule ya msingi alikuwa akiona nyoka anamvizia anamkamata kwa mikono karibu na kichwa anamng'oa meno anamuweka mfukoni(wa kaptura) anakuja kututishia nyumbani na shuleni,baadae anamuachia

Kwakua maranyingi tulikuwa nae akifanya hivyo nikajikuta namimi woga ukatoka nikaanza kukamata, japo Mimi nilikuwa siweki mfukoni wala kumtoa meno,namkaba karibu na kichwa nikishamchezea namrusha mbali

Yeye hata vinyonga alikuwa anakamata anamuweka begani anaingia nae darasani wanafunzi wenzake wanatoka mbio.

Kuna wale buibui wakubwa sana wanakuwa na tumbo kubwa,wanatembea taratibu, anachumkua anamnatisha mgongoni kwenye shati halafu anajifanya kamsahau anakuja nae nyumbani au anaenda nae shuleni.

Kwahio naamini wapo wanaopenda nyoka.
 
Juzi almanusura tugongwe na black mamba[emoji3064][emoji3064]maskini sasa hivi chakorii angekuwa marehemu🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹

Mungu yupo jamani
Tobaaaaa
Pole sana
Una bahati sana, Mungu mkubwa
Huyo ana hasira za kuzaliwa nazo ni zaidi ya shetani yaani akikuona tu anaanza kukimbiza hata liwe gari

Ukifunga break apite kosa anaingia uvunguni mpaka kwenu
 
Back
Top Bottom