Diamond Platnumz akiri kuwa anapenda sana nyoka

Nyoka ni mdudu na
Siyo mnyama
 
Watu wa hivyo wapo. Ni one in a million.
Kaka yako ana hii tabia kitaalam inaitwa Ophidiophilia - tabia ya kupenda na kutoogopa nyoka. Alifaa sana asome awe research scientist wa viumbe hai. Wenzetu wanawaendeleza watu wa namna hii kusaidia kazi za utafiti.
Ni mnoma!
 
Macho ya miilini ni tofauti na macho ya rohoni, si kila Mtu ni Binadamu na si kila Binadamu ni Mtu, nadhani umenielewa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli,Baadae yeye alipenda kusomea mambo ya utalii(tour guide) so ni kama alienda kulekule maana aliwajua wanyama in and out,akiona hata mjusi atakwambi anaitwa hivi na hivi anakula nini,scientific name nk.
 
Nyoka ni mdudu na

Siyo mnyama
Wadudu na nyoka hawa wote ni wanyama wadudu ni moja ya kundi katika wanyama, wadudu ni kama nyuki na panzi na nyoka yupo kundi la reptilia pamoja na mamba, kinyonga, kobe n.k
Kuna kundi linaitwa mamalia ambalo linajumuisha binadamu, ng'ombe, simba, kondoo, mbuzi n.k ambapo watu wengi wanajua hao ndio wanyama pekee.
 
Mungu alituamuru tumponde kichwa na atuume kisigino,sinaga urafiki na nyoka
 
Kweli ukipata hela bana unaweza kujua hata una mapenzi na wanyama.

Hivi mwaka 2006 huyu dogo ungemwambia habari za nyoka angekuelewa kweli?
2006 mbali sana mkuu mrudishe hadi 2000 tu hapo panatosha, 23 yrs ago angeulizwa unapenda kulala kitandan kimoja na brotheršŸ angejibu?
 
Kha anaiga sana huyu jomba kamuona tu dimpoz kamshika nyoka kwa woga basi naye akajifanya anajua kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…