Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Wanazaliana kama mapanya halafu wanafikiri matajiri wanaozaa watoto wachache ni wajinga.Wivu umewajaa, wao kutwa wanazaliana na hakuna wa kuwashauri…. Ila mtu akijipa pole na tuvitu tuzuri zuri hao wanaibuka kutoka shimoni km kasongo 🤣🤣
Watu kama hawa hata ka ist hawana.Wewe ndege yako iko wapi? 😂
Wivuuuuu
Una akilindogosana mkuu... na Inawezekana huna kabisaMabilioni ambayo diamond anatumia kununua magari anagetumia kujenga viwanda. Mfano viwanda vya sabuni za kufulia, wasafi soap
Bro upo serious kweli au ndio Kiki za mtandaoni na umaarufu wa kupiga uongo? Bently ya mil 250??? Si bongo zingekua nyingi bro au imekua vxr ya 2016 hiyo?Naam mkuu.
Sema mtoa mada katudanganya iyo sio ya 2020.
Iyo ni second generation ya 2013 iyo.
Third gen inaanzia 2018 yenyewe moto zaidi.
View attachment 3187231
Pia naona kama bei zimeongezwa sifuri. Maana gari ya 2013 huwezi pata mpya ni used.
View attachment 3187233
TRA nao hawataki mchezo wanataka mil 120.
View attachment 3187235
Kwahiyo on average mil 250 unapata iyo chuma.
No hate na Mond wala simpingi mtoa mada, mawazo yangu tu haya.
Jenga hivyo viwanda kila mtu na maamuzi ya namna ya kutumia hela zakeHujui unachoongea. Kwa wenzetu kila senti unayopata na kutumia lazima utoe maelezo. Ndiyo maana hakuna michezo michafu kama hii. Siyo wivu mwanangu. Angewekeza kwenye vitu vya maana, huenda angewaajiri vijana wanaooza kwa kukosa ajira na kipato. Akina Bill Gates hawakuwekeza kama mataahira na malimbukeni wetu hata kama fedha ni yao.
Toa tu na wewe hoja yako ya kupinga mkuu, sio generalisation... weka evidence kama ambavyo mdau kaweka..Bro upo serious kweli au ndio Kiki za mtandaoni na umaarufu wa kupiga uongo? Bently ya mil 250??? Si bongo zingekua nyingi bro au imekua vxr ya 2016 hiyo?
Mimi sio shabiki wa mondi ila ongezea sukari kwenye chai
Kuna mambo kwa akili za kawaida tu unajua hapa ni chai haihitaji ushahidi au wewe Bentley umeisikia leo?Toa tu na wewe hoja yako ya kupinga mkuu, sio generalisation... weka evidence kama ambavyo mdau kaweka..
Ndege yake yeye anayo kwenye simu,hua anaweka Flight mode.Wewe ndege yako iko wapi? 😂
Wivuuuuu
Taratibu tu mkuu, anza na kampuni kama Airbus, Boeing, Gulfstream, Dassault, Bombardier na Lockheed kujua models zao na namna zinavyofanya kaziMdau nakukubali sana kwenye hiki kipengele cha magari hapa jf. I wish niwe kama wewe ila kwenye upande wa ndege.
TZ eleven 😀😀Hongera zake, sisi tunaendelea na footswagen zetu wala hatuna shida.
Hakika mdau . Ngoja nipate sm kubwaHobby tu kaka, anza mdogo mdogo.
yeap. Kama hao gulfstream na dassault wao mamejikita kutengeneza executive jet. Ndege za kifahari tu.Taratibu tu mkuu, anza na kampuni kama Airbus, Boeing, Gulfstream, Dassault, Bombardier na Lockheed kujua models zao na namna zinavyofanya kazi
Naam mkuu.
Sema mtoa mada katudanganya iyo sio ya 2020.
Iyo ni second generation ya 2013 iyo.
Third gen inaanzia 2018 yenyewe moto zaidi.
View attachment 3187231
Pia naona kama bei zimeongezwa sifuri. Maana gari ya 2013 huwezi pata mpya ni used.
View attachment 3187233
TRA nao hawataki mchezo wanataka mil 120.
View attachment 3187235
Kwahiyo on average mil 250 unapata iyo chuma.
No hate na Mond wala simpingi mtoa mada, mawazo yangu tu haya.
Kumbe tumbili!!!!!!Jenga hivyo viwanda kila mtu na maamuzi ya namna ya kutumia hela zake
Acha wivu na pombeHii mipesa ya laana ya unga na usengee huwa haikawii wishi na wakafirisika. Badala ya kuwekeza kwenye vitu vya maana, wanawekeza kwenye matoi ya kitasha.
Mdomo ni jumba la maneno kwa hiyo hutaki tuongee? Kwani mdomo ni wako? Usimpangie mtu cha kuongea koma kabisaWabongo mnapenda kujifanya washauri kwenye mali za watu.
Hata kama kanunua gari ambalo spea zake ni shida kupatikana, Wewe inakuhusu nini?
Unaleta maneno kwenye pesa na mali za watu, Kwani ulimsaidia kutafuta?Mdomo ni jumba la maneno kwa hiyo hutaki tuongee? Kwani mdomo ni wako? Usimpangie mtu cha kuongea koma kabisa