Diamond Platnumz anunua gari mpya la kifahari Bentley GT W12 ya Milioni 500

Mbona hela ndogo sana hiyo?
 
Safiii apingaye aje na facts....
 
yeap. Kama hao gulfstream na dassault wao mamejikita kutengeneza executive jet. Ndege za kifahari tu.
Yeah hao asilimia kubwa ya ndege zao ni muundo wa private jet siyo commercial, japo dassault wanatengeneza ndege za kivita pia, kama akina lockheed martin
 
Bro upo serious kweli au ndio Kiki za mtandaoni na umaarufu wa kupiga uongo? Bently ya mil 250??? Si bongo zingekua nyingi bro au imekua vxr ya 2016 hiyo?
Mimi sio shabiki wa mondi ila ongezea sukari kwenye chai
Hahahahaa sasa Tena izo GT zile continental ambazo sio GT unaweza pata cheap ata za 150 kushuka. Used. 1st ten za 2000s.
 
Nipeni Deal wakuu. Na mimi npate pesa ya kulisha wazaz wng
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…