Diamond Platnumz arekodi ngoma na Wiz Khalifa

Diamond Platnumz arekodi ngoma na Wiz Khalifa

Anarekodi na wastaafu tu, ni kama utoke Kenya au Nigeria uje kurekodi na Inspekta Haroun, Soggy Doggy au Mabaga Fresh na Wagosi wa Kaya...aangalie wenzake akina Burna Boy, Wizkid wanapiga kolabo na wasanii wanao hit sasa hivi[emoji1787]
One step at a time, kila hatua anayopiga huwa anapigwa vijembe halafu wengine wanakuja kuiga.
Mdogo mdogo hizo level za hao unaowasema atazifika obviously ndiyo malengo yake, wao walishatangulia acha naye aende kwa pace yake.
Dogo ni fighter at least we should appreciate that, hata kwa hao hajakutana nao kirahisi ni malengo na determination ndiyo vimemfikisha hapo.
 
Anarekodi na wastaafu tu, ni kama utoke Kenya au Nigeria uje kurekodi na Inspekta Haroun, Soggy Doggy au Mabaga Fresh na Wagosi wa Kaya...aangalie wenzake akina Burna Boy, Wizkid wanapiga kolabo na wasanii wanao hit sasa hivi[emoji1787]
Huo uwezo anao? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wengine waendelee Tu kuwa mashoga wa kinondoni 😀
 
Anarekodi na wastaafu tu, ni kama utoke Kenya au Nigeria uje kurekodi na Inspekta Haroun, Soggy Doggy au Mabaga Fresh na Wagosi wa Kaya...aangalie wenzake akina Burna Boy, Wizkid wanapiga kolabo na wasanii wanao hit sasa hivi🤣
Daah😆 yani hao wagosi wa kaya ukimuona mkoloni alivyochoka utasema jamaa kawehuka kwa jani au stress!!
 
Hata kama Diamond simpendi lakini kusema eti anakutana na wastaafu ambao hawahiti unakua umejitoa akili na unaonyesha kabisa unafikiria kwa kutumia makalio na sio akili.

Hao wasanii wanaohiti wana view ngapi YouTube?

Ni msani gani anamfikia Wiz kwenye view za YouTube? Ana ngoma imeangaliwa mara bilioni 5 na milioni mia kadhaa, hao wanaohiti wana hata ngoma ya view milioni mia tano?

Wiz bado ana influence kubwa sana kwa sababu ngoma yake ya 5B bado inampa mileage kubwa sana na inaangaliwa na mamilioni ya watu kila siku. Hilo tu linamfanya wiz aendelee kua ni mtu anaetafutwa sana YouTube kuliko hao wasanii wenu mnaosema wanahit, bora hata wangekua wanaheat kuliko kuhit.

Hata kama Diamond hatumpendi lakini kwenye ukweli tuwe wakweli.

Ni sawa na mtu aseme leo ukifanya ngoma na Jay Zee umefanya na msaafu, hiyo itakua akili ama mavi?

Mwakani wiz atakua na view bilioni 7 na hakuna hata msaanii mmoja wa hao wanaohiti sasa atakua na hata view milioni 200.
 
Dah huyu Alisha chuja, diamond anatakiwa kukutana na wasanii walio pick sasa huyu Wizzy dah...

Diamond anatakiwa atoe ngoma Kali na wasanii wanao hits kwa sasa
Wewe Wizzy umfahamu vizuri au umeongea kwa chuki au wewe ni mfuasi wa kigogo huyo jamaa Ngoma zake zipo vizuri na anajua mziki haswa niambie wasanii gani sasa hiv wana hit? So unataka kuniambia Mondi akifanya kazi na Jay Z au Rihanna anafanya kazi na zilipendwa?
 
Mkuu bado sijakusoma,una maanisha Wakazi ni jina? Kama ni jina ni msanii wa wapi?
Duh mkuu utakuwa hufatilii bongo hip hop kabisa km humjui wakazi

Jamaa alianza hustle akiwa marekani alikokuwa anaishi kisha miaka km mi5 iliyopita ndy akarudi bongo

Miaka km minne iliyopita alikuwa na bifu Kali sn na late God zillah akimchana kwamba ameshazidiwa pumzi na nafasi yake imechukuliwa na billnass(Ngoma akaiita zillnass),pia ana Ngoma kadhaa na Nikki mbishi mojawapo ikiitwa welcome to gambosh

Mwaka Jana aligombea ubunge Kwa tiketi ya ACT Wazalendo Jimbo la ukonga Dsm akakosa
 
Anarekodi na wastaafu tu, ni kama utoke Kenya au Nigeria uje kurekodi na Inspekta Haroun, Soggy Doggy au Mabaga Fresh na Wagosi wa Kaya...aangalie wenzake akina Burna Boy, Wizkid wanapiga kolabo na wasanii wanao hit sasa hivi🤣
Sasa unategemea nini, mtu mwenyewe anatoka na kakulia Tandale
 
Hata kama Diamond simpendi lakini kusema eti anakutana na wastaafu ambao hawahiti unakua umejitoa akili na unaonyesha kabisa unafikiria kwa kutumia makalio na sio akili.

Hao wasanii wanaohiti wana view ngapi YouTube?

Ni msani gani anamfikia Wiz kwenye view za YouTube? Ana ngoma imeangaliwa mara bilioni 5 na milioni mia kadhaa, hao wanaohiti wana hata ngoma ya view milioni mia tano?

Wiz bado ana influence kubwa sana kwa sababu ngoma yake ya 5B bado inampa mileage kubwa sana na inaangaliwa na mamilioni ya watu kila siku. Hilo tu linamfanya wiz aendelee kua ni mtu anaetafutwa sana YouTube kuliko hao wasanii wenu mnaosema wanahit, bora hata wangekua wanaheat kuliko kuhit.

Hata kama Diamond hatumpendi lakini kwenye ukweli tuwe wakweli.

Ni sawa na mtu aseme leo ukifanya ngoma na J-Zey umefanya na msaafu, hiyo itakua akili ama mavi?

Mwakani wiz atakua na view bilioni 7 na hakuna hata msaanii mmoja wa hao wanaohiti sasa atakua na hata view milioni 200.
Anyway, mimi siyo muumini sana wa collabo hasa za kuwashirikisha wamarekani. Unless hizo collabo ziwe unafanya tu kutimiza ndoto yako kufanya kazi na msanii fulani, maana hata hao wasanii wa Marekani mara nyingi huwa wanafanya hizi collabo kama charity tu.

Mifano halisi kwamba hizi collabo hazina impacts,

  • Davido feat Meek Mill
  • Wizkid feat Drake
  • Davido feat Chris Brown
  • Dbanj feat Gucci mane
  • 2face feat TPain
  • Fuse ODG feat Ed Sheeran
  • Fuse ODG feat Sean Paul
  • Mr Easy feat Tyga

Hizi collabo zimefanyika lakini mpaka leo hazijasaidia chochote kwenye muziki wao.
 
Mond ft omarion
Mond ft rick ross
 
Amini usiamini kuna baadhi y watanzania wanapomuona kijana huyu kila anapozidi kupiga hatua roho zinawauma, Kama upo hili kundi utateseka mno.

Kijana anatupelek mbali sana kimataifa, Mafanikio apate yeye kwajili ya taifa ila cha ajbu uchungu wanaupata baadhi ya watanzania 😂

Ila ndio hivyo tena, anaekuchukia ana haki ya kukuonea wibu na kukuchukia ila na wewe una haki ya kumpuuza.

Kijana yupo Marekani na star Wiz Khalifa anaesifika kwa hit songs kibao ila kubwa kuzidi zote ni ile kazi yake yenye views BILIONI 5

Haikuishia kuwa picha ya kupiga tu kwa ukumbusho, video iliwaonyesha wakiwa jikoni (studio) wakitayarisha ngoma

1625482004453.png

1625482306244.png
 
[emoji23]
Kuna utofauti wa picha unazopiga na washkaji zako unaofanya nao kazi na zile za kwenda kwa star kumuomba mpige nae picha kisha anaendelea a ishu zake
Kanye uyo pia
Wakzi-na-Kanye.jpg
 
Back
Top Bottom