Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,238
- 31,190
One step at a time, kila hatua anayopiga huwa anapigwa vijembe halafu wengine wanakuja kuiga.Anarekodi na wastaafu tu, ni kama utoke Kenya au Nigeria uje kurekodi na Inspekta Haroun, Soggy Doggy au Mabaga Fresh na Wagosi wa Kaya...aangalie wenzake akina Burna Boy, Wizkid wanapiga kolabo na wasanii wanao hit sasa hivi[emoji1787]
Mdogo mdogo hizo level za hao unaowasema atazifika obviously ndiyo malengo yake, wao walishatangulia acha naye aende kwa pace yake.
Dogo ni fighter at least we should appreciate that, hata kwa hao hajakutana nao kirahisi ni malengo na determination ndiyo vimemfikisha hapo.