Hivi ni kweli wanavyosemaga watu kuwa " chuki zikizidi matumizi ya akili yanapungua sana" Hii hapa UTANIPENDA .... ilipata viewers 2m ndani ya wiki 2. KUMBUKA HUU WIMBO ULITOA VIDEO ZA AINA MBILI MOJA INATAFSIRI YA KIINGEREZA NA NYINGINE HAINA.You're talking only collaboration ila akitoa peke yake inafika mwezi 1m bado stats psquare wameibust Sana nyimbo mbaya ionekane nzuri
Sasa record gani!??
we jamaaa wa wapi duh km huna uhakika wa mambo piga kimya,umeona wap huo wimbo umeandika aka ft diamond?? huo wimbo ni wa wote wawil, A.K.A X DIAMOND kwa maana nyingine collaboration na sio featuringSasa hizo zako ni kamba, make me sing ni pin ya AKA..
Naona mama tiffah umekuja juu....we jamaaa wa wapi duh km huna uhakika wa mambo piga kimya,umeona wap huo wimbo umeandika aka ft diamond?? huo wimbo ni wa wote wawil, A.K.A X DIAMOND kwa maana nyingine collaboration na sio featuring
Sasa na ww unataka tulingane na wale wamarekani huoni kama ni uchizi kwa Africa diamond kwa view alizofikisha amevunja recodi kwa mda mfupiInaitwa Anaconda... Bongo bado tunasifia viewers laki mbili...
Wakati wenzetu viewers mpaka 1b wanafikisha, muziki wetu bado sana!!
Hata Magufuli hakupigiwa kura na watanzania wote,ila mwisho wa siku yeye ndio rais wetu waliompigia na wasiompigia,ndivyo hivyo hivyo kwa wimbo huu idadi kubwa imeukubali ukilinganisha wimbo huu na nyingine kwa muda uliotoka. (KUMBUKA KUWA YOUTUBE NDIO MOJA YA KIPIMO CHA MUZIKI MZURI KWA SASA HAKUONGELEWI HISIA)Mimi nadhano tatizo sio view wangapi maana ni lazima mtu afungue aone lakini ukweli unabaki watu tumeelemea kwenye video kuliko audio ila kama wimbo ni kawaida sana inabidi tujadili wimbo sio video je ume meet expectation. Kwa maoni yangu bila ushabiki sio ngoma kali ya kawaida sana.
Kama ni wakiume inabidi ujichunguze...Sasa hizo zako ni kamba, make me sing ni pin ya AKA..
Thread inasemaje? Au unakimbilia ku-comment kabla hujasoma? Mleta mada ameandika "....ameendelea kujiwekea record mpya katika kiwanda cha music africa...!" Sasa huyo Nick Minaj muziki wake unaingia kwenye tasnia ya muziki wa Afrika?!Hapo na nyie mnakoloma tu, mmesema Diamond mwanamuziki, na jamaa kasema nicki ni mwanamuziki pia. Hapo concert ni viewers sio mmarekani wala muafrica msituchanganye. Kwani Africa tuna watu laki 4, kwamba hawezi kupata milioni 2? Acheni kupotesha maana.
Bila shaka unamaanisha unaweza kutoa video yenye muonekano wa peke yako (yaani hujawahi kufanyika) IANGALIE NA HII NADHANI HUYU NDIO WAMEMUHUJUMU HASWA.ila video kahujumiwa..director ka copy kila kitu kutoka kwenye video kadhaa za nje kama zilivo...
sijui wana mpango wa kumuhujumu huyu dogo..