Diamond Platnumz azidi kumpelekea Moto Burnaboy tuzo za BET

Umechelewa sana kujua mdau

Kabla hujamzalia rayvan Tayar ushaanza kujitongozesha kwa shemeji mtu? We mwanamke kwel ni mtumbad.


Kwani Mleta mada anaripoti akiwa wapi pengine yupo mitaa ya mama kimbo

Serikali isaidie vijana wapate ajira na kuacha kufanya upumbavu kama huu

Wewe ni kilaza hizo like zinauhusiano gani??!
Mnateseka mkiwa wapi wazee...!!! Tunaendelea kumsukumia Moto Burnaboy mpak na mashabiki zake ...na tukichukua mhame hii nchi mwende Kwa Burnaboy ..!!
 
Wewe ni kilaza hizo like zinauhusiano gani??!
Geuza simu yako , alaf ujipige kifuani useme .."Mimi ni tabulalarasa "...!! Rudia hvo mara tatu na ubongo wako utafunguka
 
Mkuu voting inaanza rasmi June 7, 2021.
 
Mmmmh[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hivi we kima unamjua Burna Boy?huyo hizo tuzo zote anazo grammy sijui nini za zamani hata hiyo ya sasa hawezi shoboka nayo.
Tuliza matako wewe
 
Umejidharirsha sana aisee
 
Hivi we kima unamjua Burna Boy?huyo hizo tuzo zote anazo grammy sijui nini za zamani hata hiyo ya sasa hawezi shoboka nayo.
Tuliza matako wewe
Unademka Sana , unataka nimjue Burna boy ili iweje we mla ugoko wa tandahimba....!!! Hebu kaa pembeni kabisa we tikiti maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…