Diamond Platnumz azidi kumpelekea Moto Burnaboy tuzo za BET

Diamond anachukua hii tuzo
Chadema sijui wataweka wapi nyuso zao Kama SI ubelgiji
 
Baba levo na wewe kwa kujipandsha hujambo
Tunajipandisha nn asa , unakrupuka tuu hata hoja huna ....!! Nenda shule kasome geography topic moja inaitwa climatology , ni topic inayofungua ubongo Kwa watu vilaza kama wewe
 
Chawa wa domokaya soon watatembea uchi na vyupi kichwani, sio kwa kuwehuka huku khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunajipandisha nn asa , unakrupuka tuu hata hoja huna ....!! Nenda shule kasome geography topic moja inaitwa climatology , ni topic inayofungua ubongo Kwa watu vilaza kama wewe
Lini unamzalia sasa huyo boss wako?
 
Naam mkuu huyo mtoto na Burna ndio nawaona washindi wa hii tuzo kabisa
 
Mondi wapelekee moto mpaka wakajikande na maji ya moto.
 
Umeulizwa likes ndiyo kura? 🤣🤣 Jamani km hukijui vzr unachotetea bora ukakaa tu kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…