Diamond Platnumz azidi kumpelekea Moto Burnaboy tuzo za BET

Diamond Platnumz azidi kumpelekea Moto Burnaboy tuzo za BET

Jua linazidi kuchomoza Kwa mtanzania Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET dhidi ya nguli wa Mziki Burna Boy ...

Akiwa under high criticism kuhusu support kwenye nchi yake mwenyewe nguli huyu wa Bongo fleva asiyejua kukata tamaa wala kupumzika ameendelea kupambana to the bitter end... Na sasa matunda yameanza kuonekana .....

Mashabiki zake wamedhidi kumpambania "Fiercely to the last " ili kushawishi tuzo hyo itue bongo land....

Tunaendelea kumtakia kila lakheri, shujaa wa Africa 🙏View attachment 1808849
WAtanzania tusimame na Burna boy, watesi wetu akina Dai tuwaache , ni wanynya damu.
 
Ngoja niwajibu Tu kiroho safi nyie vichwa maji , nimesema mashabiki Wana ushawishi pia na sio kwamba ndo wanapiga Kura , support inapokuwa kubwa zaidi unaongeza ushawishi wa kushinda ...mmenielewa nyie viroboto
Kabla hujamzalia rayvan Tayar ushaanza kujitongozesha kwa shemeji mtu? We mwanamke kwel ni mtumbad.
 
Naona wengi mnaojadili hii tuzo mnamzungumzia Mondi na Burna kama ndio wapo wenyewe tu, mnamjua Aya Nakamura?
Watu wanajiropokea ropokea tu..

Huyu Aya Nakamura ni hatari..ana nyimbo zenye views 700m+,300m+..inshort ana balaa huyu mtoto wa Kifaransa aliyetokea Gabon.

Ila pia itakuwa maajabu kwa mshindi wa Grammy wa Album bora kutokupata hii ya BET inter. Act
 
Jua linazidi kuchomoza Kwa mtanzania Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET dhidi ya nguli wa Mziki Burna Boy ...

Akiwa under high criticism kuhusu support kwenye nchi yake mwenyewe nguli huyu wa Bongo fleva asiyejua kukata tamaa wala kupumzika ameendelea kupambana to the bitter end... Na sasa matunda yameanza kuonekana .....

Mashabiki zake wamedhidi kumpambania "Fiercely to the last " ili kushawishi tuzo hyo itue bongo land....

Tunaendelea kumtakia kila lakheri, shujaa wa Africa 🙏View attachment 1808849
Hatari na nusu
 
Back
Top Bottom