Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

Msianze kututoa kwenye reli, sasa hv tunafatilia DP world na bandari zetu, na maisha magumu, Mambo ya hear say, na umbea, hapa sio mahala pake!
 
Ukute hata Mondi mwenyewe Hana shida na hayo madawa afu sisi huku tunaanza kumshobokea kwa kumsikitikia.

Mimi Bora nipambane mkono uende kinywani maisha ya watu hayanihusu
 
Hii tabia ya Wabongo kuwatungia wenzenu uongo bila ushahidi wowote sijui mtaacha lini?
Uzushi huu haujaanza Leo wa Jana Toka miaka hiyo maneno ni hayo hayo mnafanya kuyabadili tu, lkn Cha ajabu hakuna hata mmoja aliewahi kuja na ushahidi wa wazi kutuonesha yote hayo.

Unasema umeambiwa na mtu wa karibu je ameshindwa kukupa ushahidi? Yaani wewe ukiambiwa kitu tu kisa kimetoka kwa mtu wa karibu basi ndo ukweli?

~Mlianza jamaa ni freemasons - ikabuma
-jamaa ni shoga ikabuma
- jamaa natomb... Na mama yake
-sijui jamaa kauza roho ikabuma now day mpo na unga? Isee kweli bongo ukifanikiwa unachukiwa wazi wazi.

Haya niffer na huyo unaemshabikia mbona anavuta bangi waziwazi? Au bange haina madhara? Bange imeharalishwa? Hivi unajua wanaotumbukia kwenye drugs wanaanziaga wapi?.
Watanzania acheni tabia kuchafua cv za watu kwa maneno ya kuokoteza, watu wanahangaika miaka na miaka kutengeneza cv zao alafu anakuja mjinga mmoja kutunga tunga habari zisizokua na kichwa Wala miguu.
 
Hahahahaha, si kasema ana chanzo cha kuaminika ndio wamempitishia za chini chini
 
Hahahahahaha
 
Mavazi yake na muonekano niliweka shaka iweje MTU ajiweke na avae vile km shetani na kufanana km wale wabwiaji wa majuu? Kwa Leo namshangaa mama yake anashinda nae kila Dk anashindwa hata kuwa na mke
 
JAmaa ukimwangalia vizuri, huhitaji hata daktari kuthibitisha, dawa zimemkolea yuko half-way akiongeza speed kidogo mwendo anaumaliza.

Zuchu?
Unahisi yuko salama hadi sasa?
Mm mtu yeyote anae kunywa pombe ama kuvuta Bangi ,ugolo, gundi, vigae,Madawa ya kulevya nikimtizama tu namjua nimewai kuwa hicho kitengo kipindi Fulani kukutana na waathirika mbalimbali wa vilevi kulinipa uzoefu mkubwa sana kutokana na kukutana na waathirika mbalimbali nikapata uzoefu mkubwa sana....

Ie.kuna watu ni abnormal creatures anaweza kutumia na still huwezi mjua Kwa vyovyote........

Sema sijapata muda wa kumtizama diamond platnum Ili ku observe

Cc. Rose muhando nyuma ya pazia na yeye alikua anatumia sabb ya shows na kupata energy Madawa ya kulevya huleta good vibe yakitumiwa Kwa wastani ukizidisha NDIO unakua mteja na ni alosto zaidi ya mvuta sigara na mnywa pombe...
 
Huu n mwaka wa sita km c wakumi mnaimbaga wimbo huo huo mara anatumiaa madawa mara n freemason ,mara anawala wenzie jicho ,

Ss ww dai afanye yt ww unapata tabu gan mkuu hapo ulipo ,,

Acha kupangiaa mwenye Hela zake starehee yakufanyaa..
Vyawa wake washavamia uzi.

Ila mkumbuke, binadamu akifa na vyawa hukosa makazi na kufa.

Msimdanganye, Hakuna madawa mazuri. Mastaa wakubwa duniani walioyatumia wameishia kuharibika beyond repair.

Mwambieni dogo aache ujuaji, atakufa na nyie mkufe!
 
Madawa ya kupevya addiction yake hatoboi wako wasanii wengi ulaya yamewakuta makubwa hata hapa bongo,
Pengi uvumi huu unaweza usiwe na ukwel lakin platnum anaviashiria vyote vya ulevi ulio pitiliza either Ngada, pombe kali au sembe maana sauti yake imekuwa kama teja flani mwili ndo unaisha, sijui pengine labda ni ngoma au ugonjwa fulani unamfanya ivo hatujui sana lakin shabiki tuna uhakika something is wrong japo hatujui ni nn 100%
 
labda anavuta skanka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…