Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto na Nandy wahojiwa na Polisi kwa kusambaza video za faragha, wapewa dhamana...

Kuna taarifa nimeziona kwenye mitandao mbalimbali zikimnukuu waziri wa habari juu ya kukamatwa kwa mwanamuziki Naseeb Abdul (Diamond) kwa kosa la kusambaza picha chafu zilizo kinyume na maadili ya watanzania. Hivi habari hii ina ukweli kiasi gani, naomba kujuzwa na wale wenye taarifa kamili juu ya uvunjifu huu wa sheria ulioshamiri kwa vijana wengi malimbukeni.
 
watajuana wenyewe..wanajuana hata kwenye kampeni walikua pamoja
 
Nashangaa safari hii hamna hata waandishi wa habari...

Naona lengo lilikuwa kuwatoa watu kwenye mjadala wa ripoti ya CAG ila imeshindikana.
 
huyo naseeb abdul wamweke ndani hata kwa miezi sita kusema kweli ametudharirisha sana vijana zaidi wanawake hakika asipokaa ndani miezi hiyo basi nitaaminibkuna double standard ya hali ya juu sana.
 
huyo naseeb abdul wamweke ndani hata kwa miezi sita kusema kweli ametudharirisha sana vijana zaidi wanawake hakika asipokaa ndani miezi hiyo basi nitaaminibkuna double stata
 
Wasanii watatu Billinas, Nandy, Diamond na Mwanadada ambaye ni Mwanamitindo Hamisa Mobeto wameachiwa Kwa dhamana baada ya kushikiliwa na polisi Kwa kosa la kusambaza video zisiokuwa na maadili zikiwaonesha wako Faragha.

Pia wametakiwa kureport tena polisi siku ya ijumaa.....

Kuna habari pia kuwa Hamisa ana mpango wa kumfungulia case Diamond kwa kumdhalilisha na kuweka video kwenye mitandao na yeye haikuwa ridhaa yake bali ali lazimishwa kurekodiwa..

wasalaam
 
Wakuuu nimesikia kuwa diamond na nandy watapelekwa mahakani Kwa kosa la maadili OK nandy najua ni kufanya ngono kinyume na maumbile tena hadharani Lakini hiii Ya diamond sijainyaka naomba kujulishwa huyu Kijana diamond kafanyaje tena?
diamond ka kiss tu hahahahaha wambeya ma mburulaz wanahatarisha mambo tuuu
 
Wangewaweka hata wiki nzima
Kale ka Hamissa kweli hakajitambui
Mungu aninyime vyoote lkn akili ya kupambanua jema na baya asininyime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…