joely sandu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 1,962
- 1,818
Wapambane na Hali zao tyu Hakuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo na yeye aachwe?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila magazeti ya udaku na uchafu wote yanayoandika yanaachwa
Ni siasa za siasa tuDiamond yupo madale ndani kwake nimemwona muda huu,Sema anajificha ficha
Nandy ndo alirekodiHapo sasa maana Billnas si ndiyo alikuwa anapiga gitaa kwenye tigo ya Nandy
Siyo kila mtu yuko interested na ripoti. Wengine hawajui hata kama kuna ripoti ya CAGKukamatwa kwa Dimond na ripoti ya CAG chenye maslahi kwa taifa ni kipi?
Kuna mahali nimesema hivyo?Kwa hiyo na yeye aachwe?
diamond ka kiss tu hahahahaha wambeya ma mburulaz wanahatarisha mambo tuuuWakuuu nimesikia kuwa diamond na nandy watapelekwa mahakani Kwa kosa la maadili OK nandy najua ni kufanya ngono kinyume na maumbile tena hadharani Lakini hiii Ya diamond sijainyaka naomba kujulishwa huyu Kijana diamond kafanyaje tena?